Mashabiki 8,000 wataruhusiwa kuhudhuria kwenye fainali ya kombe la EFL mwezi huu kati ya Tottenham dhidi ya Manchester City ikiwa kama sehemu ya hafla ya majaribio iliyopangwa na Serikali.

Mashabiki 8,000 Kuhudhuria Fainali ya Kombe la EFL

Mchezo huo ulikuwa uchezwe mwezi Februari 28 lakini ulisogezwa mbele mpaka April 25 huku kukiwa na tumaini la uwepo wa mashabiki kwa kiasi fulani.

Na si chini ya wiki mbili zilikuwa zimesalia mchezo huo wa City na Spurs uweze kuchukua nafasimchezo ulithibitishwa kama sehemu ya majaribio kabla ya kuruhusu mashabiki kurejea viwanjani.

Tiketi zitakuwa zikipatikana kwa vilabu hiyo vya Premier League na zilizo salia zitatotelewa kwa kwa wakazi huko Brent na watumishi NHS.

Mpango ni kuhakikisha usalama pindi mashambiki wengi watakapo ruhusiwa ili kukabiliana na janga la COVID-19

“Mpira wa miguu una utaalam mwingi katika usimamizi wa umati kwa hivyo tunakaribisha fursa ya kuunga mkono serikali katika Programu yake ya Utafiti wa Matukio na pia tutajivunia sana kukaribisha wafanyakazi wa NHS katika fainali ambayo tunadaiwa sana kwa juhudi zao kubwa wakati wa janga hilo.

“Lengo kuu la EFL daima imekuwa kutafuta mashabiki kurudi kwenye viwanja mara tu inapokuwa salama kufanya hivyo na tunakaribisha fursa ya kucheza sehemu yetu tukifanya kazi kwa kushirikiana na Uwanja wa Wembley, mamlaka za mitaa na wataalamu wanaosimamia mpango wa utafiti.

“Jitihada hizi za pamoja zitakuwa muhimu wakati tunatafuta kurudi kwa mashabiki wa vilabu vya EFL kwa mchujo na kuanza kwa msimu wa 2021-22, ili wanachama wetu waweze kupanga kwa ujasiri.”


UNAWEZAJE KUKOSA KASINO YA BREAK AWAY LUCKY WILDS INAYOKUPA NAFASI YA USHINDI MURUA.

Break Away Lucky Wilds ni moja ya Sloti pendwa katika kasino za #meridianbet inayokupa mara 11,000X ya dau lako, unayo nafasi ya kuwa milionea unasubiri nini?

Mashabiki, Mashabiki 8,000 Kuhudhuria Fainali ya Kombe la EFL, Meridianbet

5 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa