Beki wa pembeni wa Inter Milan, Matteo Darmian anafikiria kuwa kocha Antonio Conte ni kocha bora kuliko Louis van Gaal na Jose Mourinho. ‘Yeye ni hatua mbele’.

Darmian amedhihirisha kuwa bora katika wiki za hivi karibuni na alifunga goli la ushindi dhidi ya Cagliari na Hellas Verona mwezi huu.

Kwa nafasi yake Damian anasema kuwa hajazoea zaidi kufunga lakini anapopata nafasi hiyo inakuwa ni bora zaidi.

“Lakini muhimu zaidi ni kupata imani kwa kocha na wachezaji wenzangu.” – Darmian akizungumza na La Gazzetta dello Sport juu ya nafasi yake na imani ya kocha Antonio Conte juu yake.

Inter inaweza kuchukua taji la Serie A wikendi hii na Darmian alisema Nerazzurri bado wanasubiri ‘saa ya kufurahisha zaidi’ ya msimu na akisema kuwa mchezo wa kwanza dhidi ya Sassuolo ulikuwa kama hatua ya kuanzia.

“Ushindi utakuwa kipindi cha kufurahisha zaidi. Bado kuna alama kadhaa zinakosekana, tunatumaini kuzipata haraka iwezekanavyo. Msimu huu umekuwa ukiendelea. Lakini tulijua tangu mwanzo kwamba tungefanya vizuri.”

Licha ya kukili kuwa mameneja wake wa zamani Van Gaal na Mourinho, Darmian anaona kuwa Conte ni bora zaidi kuliko wote akimtaja kama ‘Ana mawazo mazuri sana, kiufundi, yupo hatua moja mbele” akifananisha na wenzake.


 

KWANI MERIDIANBET WANASEMAJE! MKWANJA UPO KWENYE KASINO MPYA YA MINI POWER ROULETTE.

Unawezaje kukosa ubingwa ndani ya kasino hii maridhawa, Nafasi ya kushinda mkwanja ni kwa kila mtu, Meridianbet inakupa nafasi ya kuwa mmoja ya washidi leo, unasubiri nini?

Mini Power Roullete

CHEZA HAPA

16 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa