Staa wa PSG, Kylian Mbappe amesema anajisikia furaha juu ya mafanikio ambayo timu yake imeyapata kwa msimu huu ikiwa pamoja na kuchukua kombe la Coupe de France baada ya kuifunga Monaco.

Mbappe psgHata hivyo hatma yake ndani ya kikosi hicho bado haijajulikana ingawa taarifa zinadai PSG imeanza mazungumzo na wawakilishi wake baada ya kumalizsna na Neymar aliyeongeza mkataba wa miaka mitatu.

Mbappe withAlipoulizwa kubusu hatma yake alibainisha na kusema: “unatakiwa kufurahia kombe kwanza hilo ndio jambo la muhimu kwa sasa, ukiangalia hata watu wote waliopo hapa wana furaha kuashiria umuhimu wa taji hili.


UNAWEZA KUWA MILIONEA WAKATI WOWOTE!

Zungusha na ushinde mkwanja wako papo hapo baada ya mzunguko kukamilika. Ni kugusa tu 🤑.

kane, Kane Aweka Wazi Maazimio Yake Kucheza UEFA., MeridianbetBASHIRI SASA

2 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa