Kulingana na Cadena SER, Mbappe ameiambia PSG kwamba hataongeza kandarasi yake na anatarajiwa kujiunga na Real Madrid msimu huu wa majira ya joto.

Kinda huyo anayenyatiwa kwa karibu na Real Madrid Kylian Mbappé ameiweka wazi  Paris Saint-Germain kwamba angependa kuachana na klabu hiyo huku tetesi zikisema hiyo inakuja baada ya Raisi wa Madrid, Perez kuzungumza nae kwa njia ya simu.

 

mbappe, Mbappe Amekataa Mkataba Mpya PSG., Meridianbet

Mbappé atamaliza mkataba mnamo Juni 2022 na amekataa kusaini nyongeza ya mkataba mwingine, licha ya majaribio ya mara kwa mara ya mkurugenzi wa michezo wa PSG Leonardo kutaka kumpa mkataba mapya.

Mbappe anaiongoza PSG katika ligi ya mabingwa msimu huu huku akiwa amefunga magoli 5 katika mechi mbili dhidi ya Barcelona na Bayern Munich, Mchezo wa pili wa marudiano utapigwa jijini Paris.


INAWEZEKANA KUWA MILIONEA BILA KUVUJA JASHO NA KASINO YA ODD ONE OUT.

Odd One Out kutoka Meridianbet ni moja ya kasino maridhawa yenye picha halisi, ambayo inakupa nafasi ya kushinda kadri uwezavyo na kuwa milionea mara baada ya mzunguko kukamilika.

mbappe, Mbappe Amekataa Mkataba Mpya PSG., Meridianbet

CHEZA HAPA

3 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa