Mchezo kati ya Leicester City dhidi ya Burnley wa Premier League uliyopangwa kuchezwa siku ya Jumamosi umehairishwa kutokana na timu ya Burnley kuwa na idadi kubwa ya wachezaji ambao wanaugua COVID-19 na wanao sumbuliwa na majeraha.

Ligi imekubaliana na Burnley kwamba haina na wachezaji wa kutosha kikosini wakiwa na wachezaji 13 ambao wapo nje na kipa mmoja  kwa mechi ya Jumamosi.

Hii inakuwa mechi ya 20 kuhairihwa katika Premier League kuahirishwa tangu Desemba 12 kutokana na wachezaji kujitenga. Burnley inayokabiliwa na hatari ya kushuka daraja tayari inaviporo vitatu vya michezo.

Milipuko ya COVID-19 inaendelea kuathiri timu nyingine huku beki wa Chelsea Andreas Christensen akiwa ameondolewa kucheza mechi ya Jumamosi huko Manchester City na kujitenga.


JIACHIE NA ALMIGHTY AZTEC

Ni muda wako kujiachia na mchezo maridhawa wa Almighty Aztec katika kasino bomba za meridianbettz. Nafasi ya kutengeneza mkwanja iko mikononi mwako kazi ni kwako.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa