Blind amesema aliangushwa chini kabla hajafanyiwa sub wakati wa mchezo wa Jumanne wa kirafiki kati ya Ajax dhidi ya Hertha Berlin ya Bundesliga na mchezo ulimalizika kwa 1-0.
Mchezaji huyo wa zamani wa Manchester United amefungwa kifaa kinachoweza kufuatilia na kurekebisha mapigo ya moyo wake-baada ya kuugua uvimbe wa misuli ya moyo kufuatia mchezo wa Champions League dhidi na Valencia mwezi Disemba mwaka jana.
Mchezaji huyo wa Uholanzi mwenye umri wa miaka 30ametoa taarifa kupitia mitandao ya kijamii siku ya Jumatano , akiwa ameandika: “Shukrani nyingi kwa jumbe mbalimbali ninazopokea za kunifariji.
“Naweza kusema kwamba niko sawa najihisi vizuri.”
Blind alijiunga tena na Miamba ya Uholanzi Ajax,ambako alianzia soka lake, mwaka 2018 baada ya kutumia miaka minne na United katika Premier League.
Ajax wanajiandaa kuanza msimu mpya katika ligi ya Eredivisie mwezi Septemba 13.
Msimu wa 2019-20 ulikatishwa mwezi March kutokana na kuzuka kwa janga la maambukizi ya virusi vya Corona kabla ya kubatilishwa mwezi mmoja baadaye.
Beti Mbio za Mbwa Mubashara
Hii ni rahisi zaidi! Hapa USHINDI unaupata kwa kuchagua mbwa anayeshinda mbio na machaguo mengine yenye odds tamu.


rama
safii sana kazikazi tu
Ester jackson
Dash pole sana kwa maradha pia pongezi kwa kuwa upo sawa na tupo pamoja kijana mpambanaji
Mwanahamisi
Safi sana
Frank P
Taarifa nzuri sana kwa X player wa Manyumbu
Mwajumah
Safi sana#Meridianbettz
Adelta
Mashabiki tunamshukuru mwenyezi mungu kwa hilo@meridianbettz
Fatina mfigi
Safi kwa sis wapenda soka na mashabikin zako !!
Khadija
kama upo fiti safi sana natufuraha kusikia hivo mashabiki#meridianbettz
Shan
Habar njema pongezi kwa kwake ni dhairi anania simama imara km simba!
Nasra
Gud news
Sauda
Afadhali
Dorophina
Habari njema kwa mashabiki wa blind endelea kupiga kazi tunakuombea afya njema zaid
Caroline
Mungu ni mwema
aisha
Safi sana kama uko fit blind
Lydia Emmanuel Magoti
Niabari nzuri Sana kwakutupa moyo sisi mashabiki
Ernest
Blind umri nao umeenda, ila ni habari nzuri kama anaendelea vizuri
Gabriel
Ninamatumain sana na blind kuwa ujio wake atafanya vzur sana baada ya kupata matatizo hayo ya kiafya
Latifa juma mohamed
Good news.
Povel
Blind mchezaj mzur ingawah age now imemtupa mkono ila bado yupo vzr sana
Sadick
Ni hatari kwa mchezaji kucheza akiwa amebainika na tatizo la moyo hasa nikikumbuka kesi Mac vivian fo#meridianbettz
Fatuma kasomo
Nihabari nzuri
Antony Luseno
Kwa hali yake bora angeachana na mpira
Neema
Mungu kamtetea kwa kweli
Sabrina
Bora amepona
Zeiyana
Habari njema kwa mashabiki wa ajax
Amiri Kayera
Namkubar Sana tena anazd kuwak tang alud team ya kwao
Saupha mohamed
Safi sana
Genia Sikaluzwe
Good 👍 news
farida ahmadi
Blind habari nzuri Sana kwetu mashabiki kama hunaendelea Vzr
Theonestina
Vizur Sana
David Pere
Blind umri nao umeenda, ila ni habari nzuri kama anaendelea vizuri
warda
Bora Kawa fit tu
magdalena
karibu tena kikosini blind
Tatu
Pole sana mungu atakutia nguvu
felister
tunafurahi kusikia ivyo
Shafii
Huyuu jamaa still yupo.
Hope mwaikuka
Fresh
Tahiya
Iyo ni safi
Samiah
Safi
Devotha
Habari nzuri