Jimenez Anaweza Kuwa Benzema wa Ronaldo - Capello.

Raul Jimenez amekuwa akihusishwa na kujiunga na mabingwa wa Serie A klabu ya Juventus na Fabio Capello amesema kwamba nyota huyo wa Mexico naweza kuwa na majukumu kama ya Benzema kipindi Ronaldo yupo Real Madrid.

    Raul Jimenez

Nyota huyo wa Wolves alikuwa na msimu mzuri kwa kufanikiwa kufunga goli 27 katika michezo 55 msimu uliyoisha 2019-20.

“Tatizo la Juventus ni kwamba wanauza wachezaji na kuwaachia na kisha wanarudi tena sokoni ,” kocha huyo wa zamani wa Juventus na Real Madrid aliiambia ESPN.

“Nimemuona Raul Jimenez, ni mchezaji mwenye umhimu na anakiwango bora sana.

“Ni aina ya wachezaji wenye uwezo wa kucheza na Ronaldo kwa sababu Christiano Juventus anakosa alichokuwa akipewa na Benzema, Na mtu mwenye uwezo huo ni Raul Jimenez.”

Ronaldo amefunga goli 37 katika michezo 46 wakati wa msimu 2019-20, lakini Juventus walitolewa hatua ya 16 bora katika michuano ya Champions League kabla Maurizio Sarri hajafungishiwa virago akiwa kama kocha mkuu wa Juventus.

Capello anaamini kutokea kwa janga la virusi vya Corona kumeaithiri Juve ambao watakuwa wakiongozwa na Andrea Pirlo katika msimu mpya wa Serie A 2020-2021.


Drops and Wins!

Umeijua hii? Ni promosheni kabambe ya ushindi kwenye Casino ya mtandaoni ya Meridianbet! Unaweza kushinda hadi Euro 2,000,000 leo.

Soma zaidi ucheze

33 Komentara

    Mmmm!!!!!Bado sana#Meridianbettz

    Jibu

    Asante kwa makala#Meridianbettz

    Jibu

    inawezekana huwezi jua

    Jibu

    Bado sana kufikia level hiyo

    Jibu

    mh!!!!hatasubili sana#meridianbettz

    Jibu

    Kwa level hyo bado sana

    Jibu

    Kweli kabisa mana pale juventus anaonekana sana Ronald kukosa mwezake wa karibu sana kama akiwa nae kwenye uwanja itapendeza sana mana watapea ushirikiano zaidi kuleta mafanikio pia itakuwa faida kwa Ronald kama alivyokuwa real Madrid na benzema

    Jibu

    Asante kwataharifa

    Jibu

    Hina wezekana juve wana tafuta mbadala wa samatta

    Jibu

    ajipange sana

    Jibu

    ajipange sana ndo aweze kumfikia

    Jibu

    Mmmm atasubili Sana

    Jibu

    Jimenez amekuwa overrated sana na inawezakana asifanya vizuri akiwa nje ya Wolves. Kwa ujumla Wolves imecheza vizuri na kupata mafanikio kama timu#meridianbettz

    Jibu

    Jimenez kumfikia ronadol bado sana

    Jibu

    Jimenez ni mchezaji mzuri sana hasa kwenye upande wa kufumania nyavu, Kama kweli ataenda Juventus basi Juventus itawaka

    Jibu

    Badoo

    Jibu

    Yupo vzr

    Jibu

    Tatizo la Juve wanauza wachezaji na kuwaachia na kisha wanarudi Tena sokoni

    Jibu

    Akiwa na Nia atafanikiwa Ila ajipange vya kutosha@meridianbettz

    Jibu

    Cjaelewa vzur

    Jibu

    Jinemez atakua tu Kama Benzema ila akaze baba

    Jibu

    Jinemez akipambana atakua km benzema wa Ronaldo.

    Jibu

    Jimenez anajua sana ni wakati wa kuendeleza kipaji sehemu ingine

    Jibu

    Jimenez yuko vzur sana

    Jibu

    Anaweza kama atajituma sana

    Jibu

    Nice

    Jibu

    Raul amekua kwenye kiwango bora sana msimu huu

    Jibu

    Atasubiri sana

    Jibu

    Hakuna kitu kinachoshindikana chini ya jua

    Jibu

    Anafunga San mabao

    Jibu

    Inawezekana kikubwa juhud bidii nidhamu na kujituma na woga ya mungu inawezekana

    Jibu

    Jimenez ni mchezaji mzuri sana hasa kwenye upande wa kufumania nyavu, Kama kweli ataenda Juventus basi Juventus itawaka

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.