Lukaku Aipa Tano Inter Milan.

Romelu Lukaku anaamini kwamba Inter inaulekeo sahihi baada ya kumaliza katika nafasi za juu katika Serie A.

Ushindi wa 2-0 dhidi ya Atalanta siku ya Jumamosi umefanya Inter wamalize katika nafasi ya pili wakiwa nyuma ya Mabingwa wa Serie A kwa tofauti ya alama moja.

Lukaku amefunga goli 23 katika michezo 36 ya ligi msimu baada ya kujiunga na Nerazzurri akitokea Manchester United kwa dau la €80m amesema mazuri yanakuja katika timu hiyo.

“Serie A imemalizika lakini tunaijenga timu yetu na tuna muelekeo mzuri “ Mshambuliaji huyo wa Ubeligiji aliandika katika mtandao wake wa Instagram.

“Asanteni kwa kutuonesha ushirirkiano katika msimu huu, kwa wachezaji wenzangu, nyie watu mko poa sana. nitawapatia kile nilichojaaliwa.”

Inter wamefikia alama 82 katika michezo yote 38 katika ligi na kuifikia rekodi waliyoweka mwaka 2009-10 walipo beba kombe la ligi wakiwa chini ya mwalimu Jose Mourinho.

Ni mara ya kwanza wanakusanya alama 79 na zaidi bila kushinda kombe la Serie A.


Tiketi yako ya kwanza kamwe haiwezi kupoteza ukiwa na Meridianbet. Unarudishiwa 100% ya Tiketi yako ya kwanza.

Ingia mchezoni

43 Komentara

    Lukaku yuko vizuri Sana

    Jibu

    Good news

    Jibu

    Safi sana lukaku kwa kazi mzr uliofanya

    Jibu

    Lukaku namkubali yuko vizuri sana

    Jibu

    Namkubali sana lukaku anajua huyu jamaa#Meridianbettz

    Jibu

    Habari nzuri sana kwa mashabiki tumefurah hana kwenye Serie A sasa tuna ngojea mambo mengine kupitia kwa meridianbettz

    Jibu

    hongera sana lukaku ongeza jitihada zaidi msimu ujao

    Jibu

    Lukaku anafanya vizuri sana

    Jibu

    Lukaku jembe anajua anachokifanya

    Jibu

    Lukaku anaitendea aki timu yake ajaenda kupiga stori kaenda kupiga kazi namkubali Sana jembe huyo

    Jibu

    Lukaku mchango wake mkubwa pale inter unaonekana dhahili kabisa anastahili kupewa pongezi za dhati na wana inter.

    Jibu

    Lomero kiwango hatari pale inter tofaut alivyokw man u

    Jibu

    Kazi nzuri Rukaku

    Jibu

    Tumeona juhudi zako Lukaku ongera sana kwa kazi nzuri#meridianbettz

    Jibu

    Hongera kwa mchango wako katika timu

    Jibu

    Hongera kwa mchango

    Jibu

    Lukaku mtu mbaya.

    Jibu

    Mtu mmbaya sana Lukaku

    Jibu

    Macho yetu kwa Lukaku msimu ujao ndani ya UEFA

    Jibu

    Asante kwa update#meridianbettz

    Jibu

    Inter ilianza vzr na uwekezaji wa mchina, nilifikiri msimu uliomalizika majuzi itamaliza ufalme wa Juventus Serie A lakini bahati haikuwa yao. Nataka kuona Lukaku akiwa mfungaji bora msimu ujao#meridianbettz

    Jibu

    Lukaku hatari

    Jibu

    Hongera kwa mchango

    Jibu

    Nice

    Jibu

    Hongera kwa mchango

    Jibu

    Lukaku ni mchezaj mzur sana

    Jibu

    saf

    Jibu

    Ni habari njema kwa mashabiki wa lnter

    Jibu

    Lukaku jeshi la mtu mmoja

    Jibu

    Gud information

    Jibu

    Good quality

    Jibu

    Hongera Sana lukaku

    Jibu

    Hongera Sana lukaku ,juhudi na maarifa ziongezeke.

    Jibu

    Lukaku jembe namkubali sana

    Jibu

    Lukaku mtu makini Sana.👊

    Jibu

    Lukaku ameonyesha kiwango bora zaid inter milan

    Jibu

    Lukaku yuko vzuri

    Jibu

    Wameshapata nafasi ya kushiliki UEFA ni lazima aseme hivyo sababu kila mchezaji mzuri anahitaji kucheza hayo mashindano

    Jibu

    Lukaku amekua na wakati mzuri sana tokea ajiunge na inter Milan mchango wake mkubwa wa kupachika mabao umefanya inter ifanye vizuri msimu huu.

    Jibu

    Lukaku yupo vizuri

    Jibu

    Habar njema

    Jibu

    Inter Ina uelekeo sahihi

    Jibu

    Lukaku Mnyama #Meridianbettz

    Jibu

Acha ujumbe