Meridianbet wamekuja na mzigo mkubwa kwaajili yako wewe mtu wangu wa nguvu, ambaye umekuwa ukiteseka na kuchana mikeka yako kila kukicha.
Huenda ulikuwa unafahamau hili au huenda ulikuwa hujui kuhusu hili, leo nataka nikujuze kitu kizuri ambacho naamini hutajutia kuchagua mabingwa wa kubashri nchini Tanzania Meridianbet.

Ukitumia njia ya kubashiri mtandaoni kwa kutumia tovuti au App ya Meridianbet unakuwa huna hofu hata kama mkeka wako utachanika unaweza kurejeshewa pesa yako uliyotumia kubashiria, tena nikwambie tu Meridianbet wanarejesha mpaka kiasi cha Laki Moja.

Meridianbet Wana Ofa Maalum Kwako

Vigezo na Masharti ili kuwa sehemu ya mnufaika wa Ofa hii.

1. Ofa hii ni halali kwa tiketi ya ubashiri wa mtandaoni pekee kwa tovuti na App ya Meridianbet

2. Tiketi zifuatazo HAZIHUSIKI kwenye promosheni hii ni, System Bet, Turbo Cash Tickets na tiketi zilizochezwa kwa pesa ya bonasi.

3. Kiasi cha juu cha kurejesha pesa kwenye promosheni hii ni Laki Moja kwa kila tiketi.

4. Chaguo la 2- cheza tiketi ya mechi 3 pekee yenye Odds zisizozidi 1.3 kwa kila moja.

5. Ikiwa mechi zote 3 zitapoteza, utarejeshewa dau lako la ubashiri.

6. Chaguo la 2- Cheza tiketi ya mechi 4 pekee yenye odds zisizozidi 1.5 kwa kila moja.

7. Ikiwa mechi zote 4 zitapoteza, utarejeshewa dau lako la ubashiri.

8. Meridianbet inasalia na haki ya kuboresha au kusitisha promosheni hii wakato wowote.

9. Vigezo na Masharti ya Jumla vinahusika

Nadhani sasa utakuwa umeelewa namaainisha kitu gani, usichukulie poa hii promosheni sio ya kuiacha ikupite kirahisi, na hawa Meridianbet kweli ni Mabingwa na wakaili wa hizi kazi.

 

Iko hivi nakuibia siri tu, unaweza kuweka ubashiri kwenye mechi za leo unaweza kuwachagua Chelsea VS Man Utd, Real Madrid Vs Sevilla na Nottingham Vs Liverpool unaweka ubashiri wako usiozidi odds ya 1.3 halafu unasubiri mkeka wako ucheke.

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa