Ligi Kuu Soka England itaanza kurindima Septemba 12, 2020 na Bingwa Mtetezi, Liverpool inaanzia nyumbani ikiikaribisha Leeds ambayo ni Bingwa wa Championship
Baada ya kucheza na Leeds, Liverpool itasafiri kwenda Stamford Bridge kuchuana na Chelsea na mchezo wake wa tatu utakuwa dhidi ya Bingwa wa Kombe la FA, Arsenal.
Manchester City itacheza mchezo wake wa kwanza katika wiki ya pili ambapo itachuana na Wolves, kisha itavaana na Leicester kabla ya kukutana na Leeds halafu Arsenal.

Chelsea itafungua msimu na Brighton Septemba 14, kabla ya kukutana na Liverpool na kisha kukutana na timu iliyopanda daraja ya West Brom.
Vijana wa Mikel Arteta wataanza kazi dhidi ya Fulham iliyopanda daraja kupitia ‘play-offs’. Baada ya hapo Arsenal itakutana na West Ham kabla ya kukutana na Bingwa Mtetezi, Liverpool.
Manchester United pia itacheza mchezo wa kwanza wiki ya pili ya mzunguko kutokana na kufika hatua za mbali kwenye Michuano ya Ulaya kwa msimu huu. Itaanza kampeni dhidi ya Crystal Palace.
Drops and Wins!
Umeijua hii? Ni promosheni kabambe ya ushindi kwenye Casino ya mtandaoni ya Meridianbet! Unaweza kushinda hadi Euro 2,000,000 leo.


Nasra
Gud news
warda
Mbona inachelewa sana#Meridianbettz
Ester jackson
Mambo ni moto hakuana kulala kabisa tunasubiri Leo tu tuendelee na mambo mengine mana ratiba imeshatolewa mapema kabisa safii sana meridianbettz
Caroline
Tulisubiri kwa hamu
Ernest
Hatukai kizembe, Thanks for the updates
Mwanahamisi
Tunasubili kwa hamu
felister
nilikua naisubiria kwa hamu natamani ata ingekua ndiyo leo
Zeiyana
Tuna subiri kwa hamu zote huu mtanange
Adelta
Mashabiki Leo Mambo Ni Moto
Tunasubiri tuone@meridianbettz
Dorophina
Hatuboreki kabisa
Mwajumah
Tunasubili kwa hamu zote huu mtanange mbona unachelewa#Meridianbettz
Khadija
Tunasubili kwa hami tuone huo mtanange#meridianbettz
Fatina mfingi
Asanteh kwa taarifa meridianbet
Magdalena
mambo mazuri yaja nasubiria kwa hamu
JULIANA
Ukuje tu
Lydia Emmanuel Magoti
Mambo mazuri tuna subili kwa hamu hayo
Samira
Good news
Sadick
Habari njema kwa wapenzi wa mpira kukutana vibanda umiza#meridianbettz
Janeflora malisa
Nice
Hope mwaikuka
Tx for news
Gabriel
Safi sana 👍 imekaa poa sana hii tunaisubir kwa ham
Saupha mohamed
Good news
Sabrina
Wadau tulikua tunasubiri kwa hamu
Furahav
Safi
Issa
Utamu utarudi
Devotha
Tunaisubiria kwa bashasha
Shafii
Hakuna kulala radha inaendelea.
Omary lukumbi
Tunaisubir
aisha
Tunasubili kwa hamu
Sauda
Hatuchoki kusubiri
Amiri Kayera
Bado tuna pressure fans wa man u team mbov
Povel
Epl is back 🔥🔥🔥🔥
David Pere
Habari njema kwa wapenzi wa mpira kukutana vibanda umiza