- Tengeneza Mkwanja na Sloti ya Pumpkin Patch.
- Ni mchezo wa Kasino Mtandaoni ya Meridianbet
Pumpkin Patch: Kama ilivyoada kwa Meridianbet kukuletea michezo yenye bonasi kubwa, Odds kubwa na Promosheni za kumwaga. Wiki hii kwenye kasino ya mtandaoni ya Meridianbet inakuletea mchezo wa kukata na shoka na utakao kutengenezea faida uitwao Pumpkin Patch.
Pumpkin Patch ni mchezo wenye maudhui ya siku ya Halloween uliotengenezwa na watengenezaji maarufu wa michezo ya kasino Habanero. Licha ya mchezo huu wenye maudhui ya siku maruhani (Halloween), Pumpkin Patch umekuwa ni mchezo unaochezwa zaidi kwenye kasino ya mtandaoni ya Meridianbet.
Mchezo huu wa kusisimua una kolamu 5 na mistari 25 ya malipo na kubwa Zaidi unakujia na jackpoti kubwa mbili. Unasubiri nini? Jiunge na familia ya mabingwa ya Meridianbet ili uweze kuwa mshindi.