SAKA MBUZI NA KITOCHI: Mabingwa namba moja wa mchezo wa kubashiri Tanzania kampuni ya Meridianbet, leo tena kwa mara nyingine imezindua promosheni maalum kwa mwezi huu wa Disemba, mwezi wenye Sikukuu na shamrashamra nyingi kwa kutoa Mbuzi wa kitoweo kwa wateja wake.
Promosheni hii inaitwa SAKA MBUZI NA KITOCHI, ambayo ni maalum kwa wateja wote wanaobashiri bila bando kwa kutumia kitochi, kwa dau la kuanzia BUKU TU (1,000/=TZS), Piga *149*10# kubashiri.
Zawadi kwa washindi wa Mbuzi wa Kitoweo zitatolewa kila wiki siku ya Ijumaa.
Zoezi la Uzinduzi wa Promosheni ya SAKA MBUZI NA KITOCHI limefanyika maeneo ya kituo cha Daladala cha Ubungo Mawasiliano na Makumbusho Jijini Dar Es Salaam.
Muitikio ulikuwa ni mkubwa sana wengi wakionesha kufurahia promosheni hii ya SAKA MBUZI NA KITOCHI kutoka Meridianbet wakitanabaisha kuwa itaenda kupunguza gharama za matumizi kwenye Sikukuu za Krismasi na Mwaka Mpya.
Promosheni ya SAKA MBUZI NA KITOCHI inaanza leo Disemba 10 ni muda wako sasa wa kubeti bila bando au kubeti na kitochi ili kujiweka kwenye sehemu ya kujishinida MBUZI wa Meridianbet.