Wikiendi ndio hii inaanza, mchongo wa wikiendi upo Meridianbet. Umeshatengeneza tiketi yako ya ushindi?

Kwenye championship, Hull City uso kwa uso na Cardif City. Unaujua uhondo wa ligi ya EFL? Timu za ligi hii zinatandaza kandanda la aina yake zikiwa zinawania nafasi ya kucheza EPL msimu ujao. Meridianbet tunakurembea tiketi yako kwa Odds bomba!!

Kwenye EPL sasa……… Manchester United wanarejea Old Trafford baada ya kupokea kipigo kutoka kwa Everton. Kituo kinachofuata ni Norwich City ambao nao, wanashika mkia kwenye msimamo wa EPL. Japokuwa wote wanahaha kunusuru msimu, wote wapo taabani!!

tiketi

Huko Ujerumani, Darmstadt kazi wanayo dhidi ya Schalke 04. Odds za mchezo huu zinafaa kuwepo kwenye tiketi yako ya ushindi, jamvi lako la Meridianbet kunang’aa kwa mchezo huu.

Xavi Ball kurejea Camp Nou, ni FC Barcelona vs Cadiz FC katika muendelezo wa LaLiga Sentander. Toka amepewa mikoba ya kuinoa Barca, Xavi hajaonja shubiri ya kupoteza mchezo wowote mpaka sasa. Wanaenda ‘bumper to bumper’ na wanaowania ubingwa msimu huu. Mchongo upo Meridianbet!!

Vigezo na Masharti Kuzingatiwa. Hairuhusiwi kwa wenye umri chini ya miaka 18.


VUNA MKWANJA NA AVIATOR

Maana halisi ya ushindi mkubwa unaipata katika kasino ya mtandaoni ya Aviator kutoka meridianbettz. Andaa kapu la ushindi wa mkwanja na beti kibao za BUREEE.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

SOMA ZAIDI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa