Lionel Messi alifikisha  mabao 25 katika LaLiga msimu huu kwenye ushindi Barcelona dhidi ya Getafe wa 5-2 huko Camp Nou siku ya Alhamisi.

Messi Afikisha Mabao 25 kwa Msimu wa 12 Mfululizo

Nahodha huyo wa The Blaugrana alifunga mabao mawili na kufikisha idadi hiyo na hiyo ilimaanisha yeye na Christiano Ronaldo ndiyo wachezaji pekee kutoka ligi tano kubwa za Ulaya kufikisha mabao 25 au zaidi mara 12 katika msimu tofauti.

Mchezaji huyo wa miaka 33 yeye kidogo yupo tofauti Ronaldo kwani yeye ameeza kufikisha rekodi hiyo kwa misimu 12 mfululizo kuanzia kampeni 2009-2010.

Wakati Ronaldo amefikisha idadi ya mabao 25 akiwa katika vilabu vya Manchester United, Real Madrid na klabu yake ya sasa Juventus  ambakotayari amefunga mabao 25 msimu huu wakati mabao yote ya Messi amefunga akiwa na Barcelona pekee.

Magoli mawili Alhamisi pia ulimaliza ukame kwa Messi kwenye michezo ya ligi ya nyumbani dhidi ya Getafe. Messi hapo awali hakuwa amefunga katika mechi zake tatu za hivi karibuni dhidi yao huko Camp Nou, ilikuwa rekodi yake ndefu zaidi bila kufunga nyumbani dhidi yao kwenye mashindano.


MKWANJA MARIDHAWA NA KASINO YA 777 MEGA DELUXE

Nafasi nyingine kwaajili yako, kasino mpya yenye hadhi ya kipekee inayokupa kila sababu ya kuwa mshindi katika kasino za Meridianbet, anza siku yako na njia rahisi ya kutengeneza mkwanja.

Messi, Messi Afikisha Mabao 25 kwa Msimu wa 12 Mfululizo, Meridianbet

CHEZA HAPA

11 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa