Makala nyingine

Makala mpya

Baba Rabiat Aweka Ahadi Simba Kuifunga Ahly| Mamelodi Watua Kibabe
SOKA LA BONGO

Shabiki kindakindaki wa Yanga anayefahamika kama Baba Rabiat na wakati mwingine hutumia jina la Shetani wa Yanga, ameteka hisia za mashabiki wengi wa simba sc na yanga sc kwa namna …

Soma zaidi
Mamelodi Watua Usiku, Pacome Aiwahi Yanga
SOKA LA BONGO

Kikosi cha Mamelodi Sundowns kimewasili usiku wa kuamkia leo katika uwanja wa ndege wa Julius Nyerere tayari kabisa kukipiga na Yanga SC katika mchezo wa Robo fainali ya Ligi ya …

Soma zaidi
Milan Yamuhitaji Goncalo Ramos Kwa Mkopo
Daily News

Huku Olivier Giroud akielekea LAFC, Milan wanahitaji mbadala wake na wanamtazama Goncalo Ramos, lakini watahitaji masharti maalum kutoka kwa PSG. Inasemekana kuwa Giroud amekubali kusaini mkataba wa miezi 18 na …

Soma zaidi
Juventus Wanaweza Kumtoa Iling-Junior
News

Juventus wako tayari kumnunua mchezaji wa timu ya taifa ya Uingereza chini ya umri wa miaka 21, Samuel Iling-Junior na uwezekano wa kuhama Ligi Kuu msimu huu, amesema Fabrizio Romano. …

Soma zaidi
Milan Inahangaika Kukubaliana na Masharti ya Maignan
News

Ripoti zinaongezeka kuwa Milan na Mike Maignan wako mbali sana katika mazungumzo ya kusaini mkataba mpya, hivyo anaweza kuuzwa msimu huu wa joto. Kipa huyo anahusishwa na klabu hiyo hadi …

Soma zaidi
YANGA KUJIKAZA KISABUNI KWA MAMELODI
SOKA LA BONGO

UONGOZI wa Yanga umebainisha kwamba hauna tatizo na wapinzani wao kwenye anga la kimataifa Mamelodi Sundowns kwa kuwa vita yao ni ndani ya dakika 90 uwanjani. Yanga wameweka wazi kuwakama …

Soma zaidi
PACOME ANATUA LEO DAR
SOKA LA BONGO

KIUNGO maarufu Kwa Sasa ndani ya Yanga Pacome Zouzoua anatarajiwa kutua Dar es salaam leo tayari Kwa maandalizi ya mchezo dhidi ya Mamelody Sundowns, Machi 30. Pacome alikuwa barani Ulaya …

Soma zaidi
Toni Kroos Kuongeza Mkataba Madrid Mpaka 2025
La Liga

Kiungo wa klabu ya Real Madrid na timu ya taifa ya Ujerumani Toni Kroos inaelezwa yuko kwenye hatua za mwisho za kusaini mkataba mpya wa kuendelea kuitumikia klabu hiyo mpaka …

Soma zaidi
Manchester United Yahusishwa na Onana wa Everton
Daily News

Klabu ya Manchester United imeanza kuhusishwa na kiungo wa kimataifa wa Ubelgiji Amadou Onana ambaye anakipiga katika klabu ya Everton inayoshiriki ligi kuu ya Uingereza. Amadou Onana amekua kwenye kiwango …

Soma zaidi
De Ligt: Sina Mpango wa Kuondoka Bayern
Bundesliga

Beki wa kimataifa wa Uholanzi Matthijs De Ligt ameweka wazi hana mpango wa kuondoka ndani ya viunga vya Allianz Arena na badala yake ataendelea kuitumikia klabu hiyo. De Ligt amekanusha …

Soma zaidi
1 2 3 4 2,027 2,028 2,029