Rais wa FC Barcelona, ​​Josep Maria Bartomeu anasema “hana shaka” mshambuliaji wa kimataifa wa Argentina, Lionel Messi atasaini mkataba mpya na klabu hiyo. Mkataba wa sasa wa nohadha huyo mwenye umri wa miaka 33 unamalizika mnamo 2021.

Mwandishi wa BBC Sport, Guillem Balague aliripoti hivi karibuni Messi “amechoshwa” katika klabu hiyo ya Uhispania. Lakini Rais na Barça ameibuka na kusema hana shaka na Mkataba mpya wa Messi.

Messi Atabaki Camp Nou, Messi Atabaki Camp Nou – Bartomeu, Meridianbet

“Messi alisema mara nyingi kwamba anataka kustaafu hapa na sina shaka kwamba atasaini tena mkataba,” Bartomeu amenukuliwa na Mundo Deportivo.

FC Barcelona ilimaliza msimu wa ligi ya ndani wakiwa na alama tano nyuma ya Mabingwa wa La Liga, Real Madrid. Wanajiandaa Kucheza mchezo wa pili wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa dhidi ya Napoli mnamo 8 Agosti na matokeo ni 1-1 kutoka mechi ya kwanza ya Februari. Messi ambaye alishinda tuzo ya ufungaji bora wa La Liga akiwa na mabao 25, alisema “mambo yanapaswa kubadilika kwenye klabu.”

Messi Atabaki Camp Nou, Messi Atabaki Camp Nou – Bartomeu, Meridianbet


Nini kinachokupa raha kama michezo ya kasino ya mtandaoni? Hasa unapojua kuwa kuna ushindi, jackpot na mizunguko kibao ya bure.
Ungana na bwana Meridian kupata ushindi na burudani.

Cheza Hapa Sasa

42 MAONI

  1. Me naona ilikua migogolo tu ya kawaida clabu yoyote haiwezi kumuacha mchezaji wake wa muhimu haende maala pengine ukiangalia mchezaji mwenyew staa kama messi

  2. Kwa Kwel Barcelona hawawezi kufanya uwamuzi bila messi wamemshawishi sasa wanatamba wakumbuke kuwa huyo messi ipo siku atastahau na hatakuwepo katika klabu yao wajue na kujitegemea hata kama messi hayupo

  3. kuna wakati Messi alitaka kujifanya yeye ndo kila kitu na asikilizwe yeye tu ,ukweli alikua anazingua ila hawezi kuondoka apo na akistaafu ataendelea kubakia hapohapo barcelona

  4. Kubaki kwa Messi ndani ya Barca kunatarajia usajili utakaofanywa na katika club hiyo ni wazi Messi amechoka kuwa mchezaji tegemezi huku akiona mafanikio ya timu yakipatikana kwa tabu

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa