Luiś Jose Miquissone Alizaliwa Tarehe 25/07/1995 Kwenye Mji wa Tete, Nchini Msumbiji, jina la utani Nchini Tanzania akijulikana kama (KONDE BOY).

Maisha yake kwenye Soka:

Safari ya maisha yake ya soka yalianzia pale kwenye club ya HCB Songo alimaarufu UD Songo mwaka 2014 ya Nchini Kwao Msumbiji.

Miquissone, Mfahamu Luis Jose Miquissone, Meridianbet
Miquissone akiwa nahodha wa UD Songo

Timu Alizowahi Kuchezea:

🔴UD Songo (Msumbiji)2014/2019
🔴Mamelodi (Africa Kusini) 2018
🔴Chippa Utd (Africa Kusini) 2018 (mkopo)
🔴Royal Eagles (Africa Kusini) 2018/2019 (mkopo)
🔴Simba Tanzania 2020 mkapa Hivi sasa

Timu ya Taifa:

Kwa mara ya kwanza Luiś Miquissone kuitwa kwenye timu ya taifa ya Msumbiji ilikuwa mwaka 2015 baada ya kufanya vizuri na timu yake ya UD Songo.

Miquissone, Mfahamu Luis Jose Miquissone, Meridianbet

Piah Winga huyu wa Simba aliwahi kuichezea timu ya taifa ya vijana ya Msumbiji Chini ya miaka 20 Msumbiji U20 mwaka 2013/2014.

Mafanikio:

🏆Ubingwa Wa Ligi Kuu wa Tanzania akiwa na Simba 2019/2020
🏆Azam Federation Cup akiwa na Simba 2019/2020
🏆Ngao Ya jamii akiwa na Simba 2020/2021

Mafanikio Mengine:

Pia Luiś Miquissone Ameshinda Tuzo Baadhi akiwa na Simba ikiwemo;
🥇Kuingia Kwenye Kikosi Bora Cha Mwaka Cha Ligi kuu Tanzania Bara 2019/2020
🥇 Tuzo ya mchezaji bora wa mwezi wa mashabiki Wa Simba 2021 (Mwezi February)
🥇Tuzo ya mchezaji bora wa wiki Wa ligi ya Mabigwa Caf 2021 Champions league ( Hatua ya Makundi) Na
🥇Tuzo ya Goli bora la Wiki Caf Champions league 2021 (Hatua ya Makundi)

Kwa sasa Miquissone ni moja ya winga Bora zaidi ndani ya Ligi Kuu ya Tanzania kutokana na uwezo wake uwanjani ikiwa pamoja na chenga na mbio alizo nazo mpaka wengine hujaribu kufika mbali na kumfananisha na Mchezaji Bora wa Dunia mara 6 Lionel Messi na kumuita Messi Wa Bongo toka Msumbiji.

Miquissone, Mfahamu Luis Jose Miquissone, Meridianbet

Hakika Simba wamepata mtu kati ya watu nadhubutu kusema Konde boy ni moja ya winga na Mchezaji Bora na hatari wa kigeni kuwahi kutokea na kucheza kwenye Ligi Kuu ya Tanzania.


Maana Kamili ya Ushindi Katika Kasino za Meridianbeti ni Pamoja na Mchezo wa Tropical Wild.

Hii ndiyo burudani yenye ushindi! Ingia kwenye kasino ya Meridianbet kufukuzia ushindi huu. Cheza sasa Tropical Wild na uwe moja ya washindi na Mabingwa.

Miquissone, Mfahamu Luis Jose Miquissone, Meridianbet

CHEZA HAPA

6 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa