Aliyekuwa kocha mkuu wa Inter Miami, Javier Mascherano, ametangaza rasmi kujiuzulu wadhifa wake akitaja sababu binafsi, miezi michache tu baada ya kuiongoza timu hiyo kufikia mafanikio makubwa zaidi katika historia …
Makala nyingine
Klabu ya Inter Miami CF imetangaza mpango wa kipekee wa kumuenzi nahodha wao Lionel Messi kwa kumpa jina la sehemu ya jukwaa katika uwanja wao mpya wa Nu Stadium. Hatua …
Ligi Kuu ya Marekani, MLS, imethibitisha rasmi mpango wa msimu wa mpito wa mwaka 2027 ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya kubadili kalenda yake ili iendane na ligi nyingi za …
Mambo yanazidi kunoga kwenye mchezo wa tenesi. Safari hii tunaangazia mashindano ya Miami Open 2021. Mzunguko wa tatu umekuwa na matokeo ya aina yake, wengine wanafuzu huku wengine wakifungasha virago …
Mcheza Tennis namba 3 kwa ubora duniani, Rafael Nadal ametangaza kujiondoa katika mashindano ya Tennis ya Miami Open yanayoandaliwa na Itau. Nadal aliandika katika ukurusa wake wa twitter kuhusu kujitoa …

