Uwezekano wa kiungo wa Simba, Jonas Mkude kucheza mechi ya kesho dhidi ya Kaizer Chiefs haupo. Si mmoja ya wachezaji waliokuwa kambini tangu waliporejea kutoka Afrika Kusini kucheza mechi ya mzunguko wa kwanza.

MkudeKocha Didier Gomes kwa kumkosa mazoezini Mkude tangu Jumanne, amefanya mipango mingine na nafasi yake anaweza kucheza Mzamiru Yassin.

Mzamiru anaonekana kuandaliwa kucheza sambamba na Thadeo Lwanga , kwani kukosekana kwa Mkude katika awamu tatu za mazoezi maana yake nafasi ya kucheza ni finyu.
Mkude
Alipoulizwa kocha wa Simba, Gomes alisema:”Mkude amekosekana kambini kutokana na sababu za Kifamilia.” Hakufafanua.


UNAWEZA KUWA MILIONEA WAKATI WOWOTE!

Zungusha na ushinde mkwanja wako papo hapo baada ya mzunguko kukamilika. Ni kugusa tu 🤑.

kane, Kane Aweka Wazi Maazimio Yake Kucheza UEFA., MeridianbetBASHIRI SASA

3 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa