MLS

HABARI ZAIDI

Messi Awasili Florida Kabla ya Maonyesho ya Inter Miami

0
Lionel Messi amewasili Florida kabla ya kutambulishwa kwake kama mchezaji wa Inter Miami Jumapili.  Ingawa klabu hiyo ya Ligi Kuu ya Soka bado haijatangaza rasmi...

Inter Miami Haimuhitaji Tena Lionel Messi, Baada ya Kuhusishwa kwa Muda

0
Kocha wa Inter Miami Phil Neville amekataa hatua ya kutaka kumleta mshindi wa Kombe la Dunia Lionel Messi kwenye Ligi Kuu ya Marekani MLS....

Gareth Bale Yuko Fiti kwa Kombe la Dunia

0
Gareth Bale anaripotiwa kushinda vita yake ya kuwa fiti kuelekea Kombe la Dunia baada ya kupata jinamizi la jeraha tangu ahamie Marekani.Mchezaji huyo mwenye...

Inter Miami Kumsajili Messi

0
Inter Miami inayoshirki Ligi kuu ya Marekani (MLS) wanaripotiwa kuwa na uhakika wa kumsajili Lionel Messi, 'miezi ijayo' na wanatumani nyota huyo wa PSG...

Tajiri wa Red Bull Afariki na Miaka 78

0
Mkuu wa mbio za Red Bull na kandanda Dietich Mateschitz amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 78 baada ya kuugua kwa muda mrefu. Raia...

Wayne Rooney Amvuta Benteke D.C. United

0
Kocha wa klabu ya  D.C. United Wayne Rooney amethibitisha kumsajiri mshambuliaji wa klabu ya Crystal Palace Christian Benteke na kusaini kandarasi ya miaka miwili...

Rooney Kurejea Ligi ya MLS Kama Kocha wa D.C United

0
Mchezaji wa zamani wa Manchester United Wayne Rooney amekubaliana na klabu ya D.C. United ya MLS na tayari amerejea nchini Marekani kwaajili ya kuanza...

Gareth Bale Atangazwa Rasmi na LAFC

0
Klabu ya Los Angeles FC imethibitisha kumsajiri mshambuliaji wa kimataifa wa Wales Gareth Bale kwa uhamisho huru akitokea klabu ya Real Madrid baada ya...

Gareth Bale kutimkia Marekani

0
Mashambuliaji nyota wa kimataifa wa Wales Gareth Bale anaenda kuanza maisha mapya kwenye jiji la California nchini Marekani baada ya kufikia makubaliano na timu...

Beki wa USA Robinson Shakani Kuikosa World Cup

0
Beki wa kati wa timu ya taifa ya Marekani Miles Robinson yupo kwenye shaka kubwa ya kukosa michuano ya kombe la Dunia mwaka huu...