Insigne na Belotti Kuhamia MLS?

Insigne na Belotti wapo kwenye rada na klabu inayoshiriki ligi kuu ya Marekani MLS, Toronto Fc ambayo inafanya mazungumzo na klabu ya Napoli pamoja na Torino ilikuweza kufanikisha deal hilo.

Insigne na Belotti na wote wanamikataba inayoisha June 2022, ambapo  wamehusishwa na vilabu mbalimbali za nchini Italia pia baadhi ya vilabu vinavyoshirikia ligi kuu ya Uingereza lakini klabu ya nchini Canada imeonesha nia na kupiga hatua zaidi.

Belotti kwa sasa ni majeruhi na anatarajiwa kurudi mwezi Februari, kuwa majeruhi kutawafanya wanunuzi wanaohitaji huduma yake kuweza kupunguza kasi, huku Insigne akiwa amepewa mkataba wa miaka mitano wenye thamani ya  €11.5milioni kwa msimu na bonasi ya €4.5milioni.

Klabu ya Toronto haina ugeni na wachezaji wa kiitaliano kwani washawai kusajiri baadhi kama Sebastian Giovinco ambaye aliwai kushinda medal ya fedha akiwa na timu hiyo


KUWA MILIONEA MSIMU WA SIKUKUU NA SAHARA RICHIES

Unaanzaje siku yako katika msimu huu wa sikukuu, mchongo upo meridianbet kasino. Sloti pendwa ya Sahara Richies inaweza kukufanya ukawa milionea katika kufunga mwaka huu, Jiunge na ufurahie kasino maridhawa kutoka nyumba ya mabingwa.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe