Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Simba, Mohammed Dewji ‘Mo Dewji’ ameonekana kuvutiwa na kazi ambayo inafanywa na benchi la ufundi la timu hiyo.

Mo

Mo Dewji katika ujumbe wake ameandika “Sisi sote mashabiki wa Simba tunafuraha sana kuona timu yetu inaendelea kufanya vizuri,” ameandika na kuongezea;

“Makocha wetu wapendwa mpo nyuma ya mafanikio ya timu.

Mo

“Tunashukuru kwa uthubutu wenu na kujitoa kwenu na tuna imani kwamba mtaendelea kuisaidia Simba kufanya vizuri zaidi,”


KWANI MERIDIANBET WANASEMAJE! MKWANJA UPO KWENYE KASINO MPYA YA MINI POWER ROULETTE.

Unawezaje kukosa ubingwa ndani ya kasino hii maridhawa, Nafasi ya kushinda mkwanja ni kwa kila mtu, Meridianbet inakupa nafasi ya kuwa mmoja ya washidi leo, unasubiri nini?

Mini Power Roullete

CHEZA HAPA

14 MAONI

  1. Mohammed Dewji
    Pamoja na mashabiki wanayofuraha sana
    Ila mkaye mkijuwa huu ni mpira lolote linaweza tokea muwe tayari kwa matokeo ya baadaye

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa