Ni dhahiri, Real Madrid haijafanikiwa kumpata mrithi sahihi wa Luka Modric mpaka sasa. Huyu ni miongoni mwa viungo bora duniani mpaka sasa.

Akiwa bado anatumikia mkataba wa miezi 12 ambao bado haujatamatika, tetesi za Modric kusepa Santiago Bernabeu, hazina mashiko makubwa kwa sasa.

Kwa hali ilivyo, uwezekano wa Luka kuongeza mkataba wa mwaka mmoja zaidi ni mkubwa. Hii ni baada ya mchezaji huyu kukubali vipengele vya mkataba mpya na sasa, ni suala la muda tu kabla ya pande zote zinahusika na mchakato huu kutia saini zao.


JIACHIE NA ALMIGHTY AZTEC

Ni muda wako kujiachia na mchezo maridhawa wa Almighty Aztec katika kasino bomba za meridianbettz. Nafasi ya kutengeneza mkwanja iko mikononi mwako kazi ni kwako.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa