Klabu ya As Monaco imeanza mazungumzo na wawakilishi wa mlinzi wa zamani wa FC Bayern Munich Jerome Boateng ili kumsajili mlinzi huyo majira haya ya kiangazi.

Kocha mkuu wa AS Monaco Niko Kovac amewaambia viongozi wa klabu hiyo amamuhitaji mlinzi huyo ili kupata mtu mzoefu katika idara ya ulinzi.

 

monaco, Monaco Mazungumzoni na Jerome Boateng., Meridianbet

Mbali na uongozi wa AS Monaco kuwa katika mpango wa kumsajili mlinzi huyo lakini wanakabiliwa na umpinzani kutoka AS Roma na Lazio ambao wote wameonesha dhamira ya kutaka kumsajili mlinzi huyo majira haya.

Boateng alitangaza kuachana na Bayern Munich baada ya kushindwa kufikia makubaliano na miamba hao wa Ujerumani juu ya mkataba mpya aliohitaji kuongeza klabuni hapo.


SHINDA TSH 150,000,000/=

Mtaani kumechangamka, washkaji wanakamata mkwanja kwa mkakati tu na Footbal Fever! Ni rahisi, changamkia fursa hii kushinda mgao wako wa TSH 150,000,000/= 💰🤑

Atletico, Atletico Waunga Tela kwa Calhanoglu, MeridianbetINGIA MCHEZONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa