Msimamo wa Ligi kuu Tanzania Bara VPL uko hivi:-

Yanga SC akiwa anashika nafasi ya kwanza huku akiongoza kwa pointi 50, wakati wapili akiwa Simba SC akiongoza kwa pointi 46, akifuatiwa na watatu ambae ni Azam FC akiwa na point 44, huku akikimbizwa na wanne Biashara United mwenye point 39.
Msimamo wa Ligi kuu Bara
Msimamo wa Ligi kuu Tanzania Bara VPL

Huku michuano hiyo ya Ligi Kuu Tanzania Bara ikitarajiwa kuendelea leo ambapo kitapigwa kati ya Mbeya City dhidi ya Kagera Sugar katika uwanja wa Sokoine,Mbeya saa 8:00 kamili. Wakati katika uwanja wa Majaliwa mkoani Lindi, kitapigwa kati ya Namungo FC dhidi ya IHEFU FC leo saa 10:00 alasiri.

Msimamo wa Ligi Tanzania Bara

Ambapo kesho siku ya Ijumaa ya tarehe 9/4/2021 michuano ya kusakata kabumbu itaindelea wakikutanisha kati ya Biashara United na Polisi Tanzania katika uwanja wa Karume mkoani Mara saa saa 8:00 kamili mchana, wakati JKT Tanzania watakutana Mwadui FC katika uwanja Jamhuri mkoani Dodoma saa 10:00 Alasiri, pamoja na Azam FC dhidi ya Mtibwa Sugar itakayochezwa katika uwanja wa nyumbani wa Azam Complex jijini Dar es salaam, saa 1:00 usiku.

Msimamo wa Ligi VPL


INAWEZEKANA KUWA MILIONEA BILA KUVUJA JASHO NA KASINO YA ODD ONE OUT.

Odd One Out kutoka Meridianbet ni moja ya kasino maridhawa yenye picha halisi, ambayo inakupa nafasi ya kushinda kadri uwezavyo na kuwa milionea mara baada ya mzunguko kukamilika.

Msimamo wa Ligi kuu, Msimamo Wa Ligi Kuu Tanzania Bara VPL, Meridianbet

CHEZA HAPA

2 MAONI

  1. Yanga anaongoza,kwa tofauti ya point 4,akiwa amemtangulia anayefwatiya kwa tofauti ya point 4 na akiwa mbele kwa michezo 3

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa