Uongozi wa klabu ya Yanga kupitia kwa Mwenyekiti wake Mshindo Msolla umetangaza Juni 27 mwaka huu kuwa tarehe rasmi ya mkutano mkuu.

Takribani mwaka wa TATU sasa Yanga hawajafanya mkutano wake mkuu wakijikita zaidi katika kuijenga timu na mambo mengine yakiutawala ikiwemo mabadiliko ya mfumo wa uendeshaji.

Msolla Kwa mujibu wa Msolla mkutano huo umetangazwa kwa kushirikiana na Kamati ya Utendaji kupitia ibara ya 20 ya Klabu hiyo.

Hata hivyo kuitishwa kwa mkutano huo kumetokana na shinikizo nje ya Yanga juu ya kutoitishwa kwa mkutano  huo kwa muda kama katiba yao inavyoeleleza kufanya kila mwaka.


UNAWEZA KUWA MILIONEA WAKATI WOWOTE!

Zungusha na ushinde mkwanja wako papo hapo baada ya mzunguko kukamilika. Ni kugusa tu 🤑.

kane, Kane Aweka Wazi Maazimio Yake Kucheza UEFA., MeridianbetBASHIRI SASA

2 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa