Kiungo mkabaji wa Yanga, Mukoko Tonombe bado ameendelea kuipa heshima timu hiyo baada ya kuitwa mara ya pili katika kikosi cha timu yake ya taifa ya DR Congo 🇨🇩

mukoko

Mukoko ameitwa sambamba na viungo wenzake 8 ambao watacheza mchezo wa kimataifa wa Kirafiki dhidi ya Tunisia Juni 10.

mukoko, Mukoko Aitwa Timu ya Taifa, Meridianbet

Mukoko amesema: “Ni furaha kwangu kuwa katika sehemu ya timu ya Taifa lakini kuitwa ni hatua moja muhimu ni kwenda na kufanya kazi nzuri kuanzia mazoezini.
:
“Ushindani wa namba ndio kitu kigumu kuna wachezaji wengi bora na wakubwa ambao natakiwa kwenda kushindana nao, nimejipanga kwa utayali wa ushindani huo ili niwe katika orodha ya wachezaji 11 watakaoanza.


Unaweza kuwa milionea wakati wowote!

Zungusha na ushinde mkwanja wako papo hapo baada ya mzunguko kukamilika. Ni kugusa tu 🤑.

mukoko, Mukoko Aitwa Timu ya Taifa, MeridianbetBASHIRI SASA

5 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa