Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano wa Yanga, Hassani Bumbuli, amefunguka kuelekea mchezo wa leo na hali ya majeruhi ndani ya kikosi.

mukoko

“Kwa mujibu wa kocha Nabi katika kuelekea mchezo wetu wa Ligi dhidi ya JKT atawakosa wachezaji wake nyota watatu waliokuwepo katika kikosi cha kwanza katika michezo iliyopita ya Ligi.

“Wachezaji hao ni Mukoko Tonombe yeye alipata maumivu ya bega makali, tupo naye kwenye msafara ulioelekea Dodoma kucheza na JKT katika mchezo wa ligi.

mukoko, Mukoko Kuikosa Yanga Vs JKT, Meridianbet

“Tumekuja naye baada ya kupata nafuu atakawepo katika mchezo ujao wa FA dhidi ya Mwadui, Ninja na Carlinhos wenyewe bado wanaendelea na matibabu na hawapo katika msafara wetu,” amesema Bumbuli.


UNAWEZA KUWA MILIONEA WAKATI WOWOTE!

Zungusha na ushinde mkwanja wako papo hapo baada ya mzunguko kukamilika. Ni kugusa tu 🤑.

mukoko, Mukoko Kuikosa Yanga Vs JKT, MeridianbetBASHIRI SASA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa