Ana miaka 16 tu! Kijana wa kizambia Raphael Mbotela ameteka hisia za watu wengi nchini Zambia baada ya kuchezesha mchezo wa kirafiki kama mwamuzi mkuu wa mchezo.

Raphael amekuwa akichezesha mechi mbalimbali toka alipokuwa na umri wa miaka 13, lakini aligeuka kuwa mtu maarufu Juzi baada ya kuchezesha mechi ya kirafiki kati ya Zeco United na Forest Rangers.

Akizungumza na BBC, Mbotela alisema kwamba alitamani kuwa mchezaji mpira lakini majeraha aliyepata ya majeraha ya kifundo cha mguu ambaye yalimkatisha ndoto.

Mwamuzi Kijana

“Nilianza kuwa mwamuzi wa mchezo miaka mitatu iliyopita ambapo nilikuwa nikichezesha mechi za akademi, lakini kadri siku zilivyokwenda nilianza kuchezesha mechi za wakubwa. Nahisi kila mtu alianza kuona ubora wangu”, aliongeza Mbotela.

Mbotela anadai kwamba mechi ya Jumatano kati ya Zesco United na Forest Rangers ilikuwa ni mafanikio yake makubwa zaidi katika historia yake. Pia, anatamani Shirikisho za Soka la Zambia litamlea kisoka. Asema pia anatamani sana kuwa kama Janny Sikazwe, mwamuzi wa FIFA mzawa za Zambia.

Viongozi wa habari wa Zesco United alisema kwamba timu hiyo imeruhusu achezeshe mechi hiyo kutokana na ukomavu wake.

“Inafurahisha kuona kijana mdogo kama huyu akiwa na lengo la kuwa mwamuzi wakati wengi wa watoto wa rika lake wakitaka kuwa kama kina Ronaldo or Messi” aliongeza.

Je, ni mambo gani makubwa ulifanya ukiwa na miaka 16?


UNAWEZAJE KUKOSA KASINO YA BREAK AWAY LUCKY WILDS INAYOKUPA NAFASI YA USHINDI MURUA.

Break Away Lucky Wilds ni moja ya Sloti pendwa katika kasino za #meridianbet inayokupa mara 11,000X ya dau lako, unayo nafasi ya kuwa milionea unasubiri nini?

mwamuzi, Mwamuzi Kijana Ateka Hisia Za Watu Zambia!, Meridianbet

CHEZA HAPA

7 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa