Mwanzilishi wa Spotify Daniel Ek ametangaza nia ya kununua Arsenal ikiwa mmiliki Stan Kroenke ataamua kuuza klabu hiyo ya Premier League.
Mwanzilishi wa Spotify Avutiwa Kuinunua Arsenal
Mmiliki wa mtandao wa kuuzia muziki wa Spotify Daniel Ek

Bilionea wa tasnia ya muziki Ek amekuwa msaidizi wa Arsenal tangu 1991, alielezea miaka mitatu iliyopita, akiwachagua kama klabu yake ya Uingereza kufuata kwa sababu Msweden mwenzake Anders Limpar aliichezea The Gunners.

Muunganiko huo wa muda mrefu unaweza kumuona Ek akitoa ofa ya kuimiliki Arsenal, kama Mmarekani huyo wa miaka 73 atataka kukata uhusiano wake na Arsenal.

Maandamano kutoka kwa wafuasi wa Arsenal nje ya Uwanja wa Emirates Ijumaa jioni, kabla ya kichapo chao cha bao 1-0 dhidi ya Everton, kilishuhudia wengi wakitaka Kroenke Sports and Entertainment waondoke klabuni.

Mwanzilishi wa Spotify Avutiwa Kuinunua Arsenal
Arsenal dhidi ya Everton (0-1) siku ya Ijumaa

Mashabiki wamekasirika kwamba Arsenal ilisaini kushiriki European Super League.

Ek alifanya tangazo lake wakati maandamano hayo yalikuwa yakiendelea kaskazini mwa London.

Aliandika kwenye Twitter: “Kama mtoto ninakua, niliishabikia @Arsenal nakumbuka. Ikiwa KSE ikitaka kuuza Arsenal ningefurahi kuinunua.”

Shukrani kwa mafanikio ya huduma ya utiririshaji wa muziki Spotify, Ek anasemwa na Forbes kuwa na utajiri halisi wa karibu $ 4.7bilioni.


MKWANJA MARIDHAWA NA KASINO YA 777 MEGA DELUXE

Nafasi nyingine kwaajili yako, kasino mpya yenye hadhi ya kipekee inayokupa kila sababu ya kuwa mshindi katika kasino za Meridianbet, anza siku yako na njia rahisi ya kutengeneza mkwanja.

Spotify, Mwanzilishi wa Spotify Avutiwa Kuinunua Arsenal, Meridianbet

CHEZA HAPA

14 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa