Kocha Mkuu wa Yanga, Mtunisia Nasreddine Nabi amewaweka mtu kati mastraika wake na kuwaambia anataka matokeo jijini Dodoma

nabi, Nabi Alia na Washambuliaji Yanga, Meridianbet
Sarpong

“Ni jambo ambalo halinifurahishi kwani tunatengeneza nafasi nyingi lakini washambuliaji wangu hawafungi.

“Nitaendelea kulifanyia kazi jambo hilo mpaka pale watakapokaa sawa na naamini hata wao wanatakiwa kujua kuwa wanaiumiza timu hivyo lazima wapambane ili kuipatia timu ushindi” alisema Nabi na kuongeza kuwa

“Naamini watafanya vizuri katika mchezo wetu ujao (JKT Tanzania) tumejiandaa vizuri dhidi ya wapinzani wetu lakini tunaitaji zaidi ushindi katika mchezo huo.

nabi

Yanga ilirejea jijini Dar es Salaam ikitokea Mtwara na ikalazimika kulala hapo Dar kwani hakukuwa na ndege ya kuunganishi kwenda Dodoma. Leo asubuhi itaondoka Dar kuelekea Dom kuivaa JKT.


Unaweza kuwa milionea wakati wowote!

Zungusha na ushinde mkwanja wako papo hapo baada ya mzunguko kukamilika. Ni kugusa tu 🤑.

nabi, Nabi Alia na Washambuliaji Yanga, MeridianbetBASHIRI SASA

5 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa