Saturday, November 5, 2022
NyumbaniNacional Teams

Nacional Teams

HABARI ZAIDI

Makocha 10 Matajiri Zaidi Kwenye Ulimwengu wa Soka

1
makocha wengi wa soka wakiendelea kukosa umaarufu ikilinganishwa na wachezaji wao ,Makocha ni kiungo muhimu katika kubaini hatma ya timu uwanjani. Makocha huchukua jukumu la...

Majeruhi Uwanjani Ndio Yalizizima Ndoto ya Simba

2
Simba ililazimika kufanya sub za lazima ndani ya dakika 30 za Mchezo, Mzamiru alitoka akaingia Bernard Morrison, ili kuutanua uwanja na kuongeza mashambulizi Alitoka tena...

TPBL, TFF Wameweza Kuuza Mpira wa Bongo kwa Pesa Nyingi

4
Rais wa TFF Wallace Karia, aliingia madarakani 2017 akipokea kijiti kutoka kwa Jamal Malinzi, kuna mengi yametokea tangu ameingia kwenye mpira wetu Karia tangu aingie...

Karim Benzema na Ufaransa ni Nyumbani

0
Siku, Masaa, Dakika na Sekunde hufanya kubadilika Kwa majira na namba za Miaka. Mwaka 2015 miaka 6 iliyopitia ilikuwa ni mara ya mwisho kuiona...

Tuchel Hajafurahishwa na Mabadiliko ya UEFA

15
Kocha wa Chelsea Thomas Tuchel anapingana na mabadiliko ya Champions League, ambayo yatafanya vilabu vicheze michezo mingi zaidi katika hatua ya makundi. The Blues wanajiandaa...

Bibiana Mwanamke wa Kwanza Kuchezesha Bundesliga

17
Leslie Feinberg alikuWa mwandishi mkubwa sana nchini Marekani, licha ya kuwa na maumbile ya kike lakini alipenda sana kuwa mwanaume, hivyo ikambidi aishi katika...

Messi Anavyotukumbusha Mungu Yupo

23
Nimesikia maajabu mengi sana duniani ikiwemo mchanga unaotembea katika hifadhi ya taifa Ngorongoro. Nimesikia juu ya miti inayotembea ndani ya msitu mkubwa wa Amazon....

Messi Akiri Kutaka Kuondoka Kumemgharimu Msimu Huu

14
Mshambuliaji wa Barcelona na timu ya Taifa ya Argentina, Lionel Messi, amesema jaribio lake la kutaka kuondoka klabuni hapo ambalo liligonga mwamba katika dirisha...

Siku ya Mwisho ya Franseco Totti Pale Stadio Olimpico

16
Ni usiku wa May 28 2017, muamuzi ametoka tu kupuliza kipenga chake kuumaliza mchezo wa Roma dhidi ya Genoa. Ushindi wa 3-2 wala haujawapa...

Mbappe: Mama Akikubali Mbona Fresh

15
Mshambuliaji wa Ufaransa Kylian Mbappe, 21, amedokeza kuwa nafasi ya yeye kuondoka Paris St-Germain itategemea ridhaa ya wazazi wake. (Copa 90, via Sun on...