Feisal Salumu Kukosa Mechi za Kirafiki za Taifa Stars Dhidi ya Uganda, Rwanda

Kiungo mshambuliaji wa Taifa Stars, Feisal Salum, hatoshiriki katika mechi mbili za kirafiki za timu ya taifa dhidi ya Uganda zitakayochezwa Juni 5, 2026 na Rwanda Juni 9, 2026, baada ya kubainika kuwa na majeraha aliporipoti kambini.

Feisal Salumu Kukosa Mechi za Kirafiki za Taifa Stars Dhidi ya Uganda, RwandaKwa mujibu wa Afisa Habari wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Feisal alifanyiwa tathmini na madaktari wa timu ya taifa ambao walithibitisha hali yake na kumruhusu kuondoka kambini ili aendelee na matibabu na uangalizi wa afya yake.

Bila kusahau meridianbet ndio wakali wa ODDS KUBWA, Machaguo zaidi ya 1000 na kila kitu ukitakacho. Bashiri kijanja hapa

Taarifa hiyo imesema “Feisal Salum hatahusika katika mechi mbili za kirafiki za Taifa Stars baada ya kuripoti akiwa na majeraha, na ameruhusiwa kuendelea na matibabu chini ya uangalizi wa wataalamu wa afya.”

Feisal Salumu Kukosa Mechi za Kirafiki za Taifa Stars Dhidi ya Uganda, RwandaKutokuwepo kwa kiungo huyo kunatajwa kuwa pigo kwa Taifa Stars kutokana na mchango wake mkubwa katika ubunifu wa mashambulizi na uwezo wake wa kutengeneza nafasi za kufunga mabao katika eneo la kiungo mshambuliaji.

Feisal Salumu Kukosa Mechi za Kirafiki za Taifa Stars Dhidi ya Uganda, RwandaHata hivyo, benchi la ufundi linatarajiwa kutumia nafasi hiyo kuwajaribu wachezaji wengine kwenye nafasi ya Feisal “Fei Toto” kabla ya mashindano yajayo ya kimataifa, huku akiwa mmoja wa wachezaji muhimu katika kikosi cha Taifa Stars.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.