Italia imethibitishwa kama wenyeji wa fainali za Ligi ya Mataifa mwakani, na timu ya Roberto Mancini tayari imepangwa dhidi ya Uhispania katika nusu fainali ya kwanza.

UEFA ilithibitisha siku ya Alhamisi kile ambacho tayari kilikuwa kikijulikana sana kwani ilitangaza kuwa washindi wa Kundi A1 Italia watakuwa wenyeji wa michuano hiyo.

Italia Kuwa MWenyeji

Michezo mingine ya awali itachezwa huko Milan na Turin, wakati San Siro itaandaa fainali!

Italia na Uhispania zitacheza nusu fainali ya kwanza huko San Siro mnamo Oktoba 6, Huku Ubelgiji ambao wapo katika viwango bora vya FIFA wakijiandaa kumenyana na wamiliki wa Kombe la Dunia, Ufaransa kwenye Uwanja wa Allianz huko Turin. Hii ni itakuwa kali sana!


 

FURAHIA MUZIKI MTANDAONI HUKU UKITENGEZA MKWANJA!!

Mchezo wa Astro Legend unakupatia burudani ya muziki kupitia kasino ya mtandaoni ya Meridianbet. Utaburudika huku ukiendelea kutengeza mkwanja mrefu, jiunge sasa na uwe miongoni mwa mabingwa!!

Italia, Italia Kuumana na Hispania, Huku UFaransa Kuvaana na Ubelgiji, Meridianbet

INGIA MCHEZONI

18 MAONI

  1. Italia na Uhispania zitacheza nusu fainali ya kwanza huko San Siro mnamo Oktoba 6, Huku Ubelgiji ambao wapo katika viwango bora vya FIFA wakijiandaa kumenyana na wamiliki wa Kombe la Dunia, Ufaransa kwenye Uwanja wa Allianz huko Turin. Hii ni itakuwa kali sana!

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa