Makala nyingine

Huyu ni Cassius Clay, bondia ambaye baadaye akabadili dini na jina na kuwa Mohamed Ali. Cassius Clay au Mohamed Ali, alikuwa bingwa wa masumbwi na maneno ya shombo kuwahi kutokea. …

Ujerumani Itarudi Tena

Walikuwa juu sana kwenye soka la dunia 1996 wanabeba EURO pale Wembley kwa kumfunga Jamhuri ya Czech, kisha 1997 Borussia Dortmund anaenda kubeba UEFA, 2002 wanacheza fainali kombe la dunia …

Mchezaji wa zamani wa Argertina, Diego Maradona, ametolewa hospitali siku ya Jumatano, na kuelekea kliniki ya kurekebisha tabia ili kuacha kutegemea pombe. Nyota huyo ambaye anakumbukwa kwa kufunga bao la …

Hassan Mwakinyo, bondia Mtanzania amesema kuwa alijipanga kuibuka na ushindi mbele ya mpinzani wake Jose Carlos Pazi wa Argentina jambo lililompa ushindi. Bondia Mwakinyo usiku wa kuamika leo  amefanikiwa kuetetea …

BONDIA maarufu Bongo, Abdallah Pazi ‘Dulla Mbabe’ ameondolewa kuzipiga na bondia kutoka DR Congo Alex Kabangu na nafasi yake imechukuliwa na Hussein Itaba. Pambano hilo limepangwa kufanyika Novemba 13  ukumbi …

Timu ya Taifa Stars ya Tanzania leo imepoteza kwa kufungwa bao 1-0 kwenye mchezo wa kirafiki dhidi ya Burundi uliochezwa Uwanja wa Mkapa. Kwenye mchezo wa leo ambao mgeni rasmi …

Mataifa ya Uhispania na Ureno yameingia mkataba maalumu wa kuunda muungano wa kujipigia chapuo kuandaa michuano ya kombe la dunia (FIFA WORLD CUP) mwaka 2030. Awali katika muungano huo pia …

Inaendelea.. Lazima ndani ya Barcelona kuna umoja, ukaribu na urafiki. Lakini aina ya mashabiki ambao Suarez atawakumbuka na mazoea kama mwanadamu wa kawaida, hivyo ni lazima kumwaga chozi. Yote sawa, …

Kocha mkuu wa Barcelona, Ronaldo Koeman huenda anaweza kuikosa huduma ya nyota wake Lionel Messi raia wa Argentina kwenye mechi tatu za La Liga ikiwa nyota atakwenda kwenye majukumu ya …

Bondia wa Tanzania, Cosmas Cheka, ameshinda pambano dhidi ya Mmalawi, Hannock Phiri, lililofanyika Uwanja wa Jamhuri, Morogoro, usiku wa kuamkia leo Septemba 14, 2020. Mabondia hao walipigana kwa uzito wa …

Angel Di Maria, Neymar,Leandro Paredes na Keylor Navas wamejumuishwa katika kikosi cha Paris Saint-Germain kwa mchezo wa Jumapili wa Ligue 1 dhidi ya Marseille baada ya kumaliza siku za kukaa …

UNAKUBALI KUWA ASILI YA SOKA NI CHINA?   Mchoro wa mchezo wa kandanda katika makumbusho ya Linzi Kufika sasa ni dhahiri kuwa China ilikuwa na vilabu vya soka, sheria, na …

ULIANZIA WAPI HASA? Kwa zaidi ya miaka 2000, Wachina wamekuwa wakicheza mpira wa cuju au zuqiu, ambao hutamkwa tsoo-joo unaohusu upigaji mpira shuti kwa kutumia mguu kwa Kiingereza “kickball”. Neno hilo hutumika kumaanisha kandanda hadi …

Ningepata mtu anihakikishie sio kufuru, ningesema hajazaliwa na mwanamke kama binadamu wengine. Ningepata mtu anihakikishie sio dhihaka, ningesema alitengenezwa maabara sawa na maroboti wenzake. Ningepata mtu anihakikishie sio dharau ningesema …

1 2 3 4 5 8 9 10