Makala nyingine

Michuano ya Kombe la Dunia imemalizika nchini Urusi, lakini licha ya mchezo huo kuwa na ufuasi mkubwa, ni wachache sana ambao hutafakari kuhusu chanzo cha mchezo huu maarufu. Suala hilo …

Chelsea inafanya mazungumzo na Rennes juu ya kipa wa kimataifa wa Senegal, Edouard Mendy baada ya kusitisha mipango yao kwa kipa mwingine, Mike Maignan wa Lille – Maignan alikuwa ndio …

Klabu ya Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Sven Vandenbroeck leo Agosti 22, imeibuka na ushindi wa mabao 6-0 mbele ya Vital’O ya Burundi kwenye mchezo wa kimataifa wa kirafiki uliochezwa …

FIFA inawasaidia wachezaji wa soka wenye uraia wa nchi zaidi ya moja kubadili kuwakilisha timu ya taifa hata kama walishaichezea nchi nyingine lakini Kuna sheria za kufuatwa – Haya ni …

Ipi hukumu kubwa zaidi kuwahi kutolewa duniani? Hakuna anayejua jibu sahihi. Ila ipo moja tunayoweza kuitumia kama mfano, japo sina hakika kama ndiyo hukumu ya kikatili zaidi kuwahi kutolewa katika …

Wenger Aitaka Uholanzi

Aliyewahi kuwa Kocha wa Klabu ya Arsenal, Mfaransa Arsene Wenger amekusudia kurejea tena katika majukumu ya kufundisha soka baada ya kutuma maombi rasmi kwenye chama cha soka cha Uholanzi. Taarifa …

Kiungo mshambuliaji wa Yanga, Mrisho Ngassa leo amewaaga rasmi mashabiki wake kwa kusema kuwa msimu ujao hatakuwa ndani ya kikosi cha Yanga. Kupitia ukurasa wa Instagram,Ngassa ameandakika hivi:-“Kwanza nitoe shukrani …

Mshambuliaji namba moja wa Klabu ya Mbao FC, Waziri Junior leo Agosti 2, ametambulishwa rasmi kuwa mali ya Yanga. Junior amesaini dili la miaka miwili akiwa ni mchezaji huru baada …

Ayoub Lyanga, kiungo mshambuliaji mwenye mabao nane na pasi nane alipokuwa ndani ya Coastal Union leo Agosti 2 amesaini kandarasi ya miaka miwili kuitumikia timu hiyo. Lyanga amefanyiwa vipimo mapema …

Ni kama kocha mkuu wa Simba Sven Vandernbroeck amekubali yaishe Simba, na hii inatokana na interview ya jana mara baada tu ya ushindi wa 2-1 vs Namungo. Mtangazaji alimuuliza Sven …

Beki wa kushoto wa kimataifa wa Rwanda anayeichezea Rayon Sports, Eric Rutanga ni mali ya Yanga baada ya kusema kuwa ameshasaini mkataba wa miaka miwili kuitumikia timu hiyo. Hivi karibuni …

Azam FC wamekamilisha usajili wa kiungo mkabaji wa kimataifa wa Rwanda, Ally Niyonzima, kwa mkataba wa miaka miwili. Niyonzima aliyekuwa akicheza Rayon Sports ya Rwanda, usajili wake ni sehemu ya …

Bakari Mwamnyeto beki kisiki wa Coastal Union leo Agosti Mosi amesaini dili la miaka miwili kuitumikia Klabu ya Yanga. Nyota huyo alikuwa kwenye rada za mabosi wa Yanga kwa muda …

Beki kisiki w Arsenal David Luiz hapo jana aliweka rekodi yake ndani ya EPL msimu huu ya kuwa beki wa kwanza aliyecheza madhambi mengi yaliyopelekea timu yake kuadhibiwa kwa mkwaju …

1 2 3 4 5 6 8 9 10