Julian Nagelsmann anatarajiwa kuwa kocha mkuu wa Bayern Munich baada ya Hans Flick kuomba kuacha na na klabu hiyo na amekubali dili ya mkataba wa miaka mitano ambayo itaanza Julai 1 klabu hiyo ya Bundesliga imethibitisha.

Nagelsmann Athibitishwa Kurithi Mikoba ya Flick

Bayern ambao wapo karibu kushinda ubingwa wa 9 mululizo wamekubali kukatisha mkataba na Hansi Flick, ambaye aliitaarifu klabu kuwa hatakuwa kuendelea kuwa kocha mkuu tena baada ya msimu huu.

“Julian Nagelsmann anawakilisha kizazi kipya cha makocha,” Rais Bayern  Herbert Hainer alisema katika maelezo.

“Licha ya umri wake mdogo, lakini amekuwa na ushawishi katika kazi yake hiyo. Tumeshawishika kwamba pamoja na Julian Nagelsmann tutajijenga kupata mafanikio makubwa ambayo tumepata katika miaka michache iliyopita.

Mazungumzo yalizuka Jumatatu kwamba Bayern na Nagelsmann walikuwa wamekubaliana haraka lakini ada ya kumwachilia kutoka kwa mkataba wake wa RB Leipzig ilikuwa inadhihirisha ukweli.

Kwa mujibu wa ripoti zilizoenea nchini Ujerumani na Ulaya, makubaliano yamefikiwa kati ya vilabu ambavyo vingemfanya Nagelsmann kuwa mkufunzi mkuu ghali zaidi ulimwenguni.

Taarifa zinaonesha Bayern watalipa karibu milioni 20, wakati ripoti zaidi zinaonyesha nyongeza zinaweza kuchukua jumla ya karibu milioni 25.

Nagelsmann, 33, alikuwa pia akihusishwa na Tottenham baada ya uamuzi wao wa kumtema Jose Mourinho wiki iliyopita.


KWANI MERIDIANBET WANASEMAJE! MKWANJA UPO KWENYE KASINO MPYA YA MINI POWER ROULETTE.

Unawezaje kukosa ubingwa ndani ya kasino hii maridhawa, Nafasi ya kushinda mkwanja ni kwa kila mtu, Meridianbet inakupa nafasi ya kuwa mmoja ya washidi leo, unasubiri nini?

Mini Power Roullete

CHEZA HAPA

17 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa