Makala mpya

Allegri Analenga Kuchukua Kombe la Coppa Italia Akiwa na Juventus
Serie A

Massimiliano Allegri anaweza kuwa kocha wa kwanza kushinda Coppa Italia mara tano, akiwapita Roberto Mancini na Sven Goran Eriksson. Juventus itazuru Lazio kwenye Uwanja wa Stadio Olimpico kesho katika mechi …

Soma zaidi
Kvaratskhelia, Di Lorenzo Wapo Huru Kuondoka Napoli
Serie A

Kwa mujibu wa gazeti la La Gazzetta dello Sport, Rais wa Napoli, Aurelio De Laurentiis amekasirishwa na wachezaji kiasi kwamba kila mmoja, akiwemo Khvicha Kvaratskhelia na Giovanni Di Lorenzo, watakuwa …

Soma zaidi
Berti Ana Uhakika Kuwa Inter Watashinda Mechi ya Milan derby
Serie A

Kiungo wa kati wa zamani wa Inter, Nicola Berti ana uhakika na nafasi ya Nerazzurri kwenye Derby della Madonnina, akihisi kutokuwa na shaka kabla ya mpambano na Milan. Kikosi cha …

Soma zaidi
West Ham Wametuma Ofa kwa Lopetegui Anayelengwa na Milan
Daily News

Kwa mujibu wa La Gazzetta dello Sport, West Ham wametuma ofa kwa  Julen Lopetegui ambaye analengwa na Milan na tayari amekutana na mmiliki wa Rossoneri, Gerry Cardinale. Milan itatengana na …

Soma zaidi
AZAM FC NAO NI MWENDO MDUNDO LIGI KUU
SOKA LA BONGO

Ushindi wa Azam FC kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Ihefu unawapa pointi tatu mazima huku mwamba Feisal Salum akifikisha mabao 14. Azam FC wameituliza Ihefu kwenye mchezo …

Soma zaidi
PACOME ATAJA SIKU ATAYORUDI UWANJANI
SOKA LA BONGO

Kiungo wa Klabu ya Yanga Pacome Zouzoua amefunguka siku ambayo atarejea Uwanjani, Baada ya kukosekana Kwa muda mrefu. Hadi kufikia leo, inakuwa zimefika takribani wiki nne tangu alipopata jeraha kwenye …

Soma zaidi
AHMED ALLY AIBUKA NA KAULI NZITO BAADA YA KIPIGO
SOKA LA BONGO

Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba Ahmed Ally, ameibuka na kutoa neno nzito Kwa Mashabiki Baada ya siku mbili kupita tangu walipofungwa na Yanga 2-1. Ahmed amesema, ni kweli …

Soma zaidi
Simeone Inzaghi Bado Yupo Sana Inter
News

Kocha wa klabu ya Interzionale Milan Simeone Inzaghi bado yupo sana ndani ya klabu hiyo vinara wa ligi kuu ya Italia kutokana na kauli aliyoitoa leo mbele ya waandishi wa …

Soma zaidi
Beki Bayern Leverkusen Bado Dili Sokoni
Bundesliga

Beki wa klabu ya Bayern Leverkusen raia wa kimataifa wa Burkinafaso Edmond Tapsoba ameendelea kua kivutio cha vilabu mbalimbali vikubwa barani ulaya. Beki huyo wa kimataifa wa Burkinafaso inaelezwa maskauti …

Soma zaidi
Bayern Munich Yamfukuzia Ferlan Mendy
Bundesliga

Miamba ya soka kutoka nchini Ujerumani klabu ya Bayern Munich inafukuzia saini ya beki wa kushoto wa klabu ya Real Madrid raia wa kimataifa wa Ufaransa Ferlan Mendy. Bayern Munich …

Soma zaidi
1 2 3 4 2,039 2,040 2,041