Timu ya Namungo yaendeleza utumwa wa kufunga mechi zote za ligi ya shirikisho Afrika baada ya kupigwa 3-0 jana na Raja Casablanca katika uwanja wa Mkapa, Dar-es-salaam.

Katika mechi hiyo iliyochezwa majira ya saa 10 jioni, Namungo walifunga magoli yote ndani ya dakika 35 za kipindi cha kwanza. Mechi hiyo ilionekana kuwaelemea sana Namungo huku kukiwa na mashambulizi mengi katika lango lao.

Kwa mechi 5 walizocheza Namungo, hawajashinda hata mechi moja, wamepoteza mechi zote huku wakiwa wamefunga magoli 8 na hawajafunga hata goli moja.

Namungo ilikuwa klabu ya pili kutoka Tanzania kwenye mashindano ya Afrika, baada ya Simba ambayo inafanya vizuri na ipo katika hatua ya robo fainali ya Caf Champions League.

Mwaka jana timu hii walipata nafasi ya kuwakilisha Tanzania baada ya kucheza nusu fainali ya Kombe la FA, na kufunga na Simba lakini kutokana na Simba kuwa bingwa wa VPL, ikabidi mshindi wa pili wa FA aende kuwakilisha.

Je, ni kwamba Vijana hawa wa kusini hawakuwa tayari kuingia kwenye michuano mikubwa au bado wachanga sana kwenye game?


MKWANJA MARIDHAWA NA KASINO YA 777 MEGA DELUXE

Nafasi nyingine kwaajili yako, kasino mpya yenye hadhi ya kipekee inayokupa kila sababu ya kuwa mshindi katika kasino za Meridianbet, anza siku yako na njia rahisi ya kutengeneza mkwanja.

Namungo, Namungo Waendelea Kupigika Shirikisho, Meridianbet

CHEZA HAPA

14 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa