Wawakilishi  wa Tanzania katika Kombe la Shirikisho Afrika Namungo FC,walipoteza kwenye mchezo wao wa Kombe la Shirikisho Uwanja wa Levy Mwanawasa, Zambia, ukiwa ni mchezo wa nne wa michuano hiyo hatua ya makundi ambapo timu hizo zipo Kundi D.

Dakika 90 zilikamilika kwa ubao kusoma Nkana FC 1-0 Namungo na kufanya ipoteza jumla ya mechi zote nne ambazo imecheza mpaka sasa na ipo nafasi ya nne bila pointi.

Namungo

Katika mchezo uliopita baina ya timu hizo uliochezwa Uwanja wa Mkapa, Dar, Namungo ilikubali kichapo cha bao 1-0.

Akizungumza na waandishiMorocco amesema:”Ni uzoefu ambao unatupatia shida na kutufanya tusipate matokeo mazuri.

Namungo

Mapungufu ambayo tunayaona tutayafanyia kazi ili kupata matokeo kwenye mechi zetu zijazo,” .

Bao la ushindi kwa Nkana FC lilipachikwa na Fredy Tshemega dakika ya 71.


Jilipe kwa Namba Zako za Bahati na KENO

Kila mtu ana namba zake za bahati, Meridianbet tunatambua namba zinaweza kukufanya milionea leo. Jilipe kwa namba zako za bahati kila baada ya dakika tano.

namungo, Namungo Yapoteza Mchezo Dhidi ya Nkana, Meridianbet

CHEZA HAPA

5 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa