Pointi mbili tu zinawatofautisha Napoli na Lazio kwenye Serie A, na Lazio bado wana mechi moja mkononi lakini hii ni mechi muhimu kwa timu zote mbili kuendelea kuwepo kwenye mbio za Ligi ya Mabingwa.

Napoli walitumia nguvu nyingi kupambana na vinara Inter Milan mechi iliyopita, lakini waliweza kuwapa changamoto Inter wakiwakwamisha kuendelea na ushindi wa mechi 11 mfululizo.

Gennaro Gattuso anatarajiwa kuwa atafanya mabadiliko kuelekea kwenye mechi hii.

Simone Inzaghi hatarajii kufanya mabadiliko makubwa sana kwenye safari yake ya Napoli, akiwa na majeruhi mmoja, lakini pia bado anasumbuliwa na virusi vya corona hivyo hataweza kuiongoza timu yake.

Napoli vs. Lazio: Taarifa na Vikosi

BASHIRI HAPA

 Vikosi vinavyotarajiwa

Napoli : Meret; Di Lorenzo, Manolas, Koulibaly, Hysaj; Fabian, Bakayoko; Politano, Zielinski, Insigne; Mertens

Lazio : Reina; Marusic, Acerbi, Radu; Lazzari, Milinkovic-Savic, Leica, Pereira, Fares; Correa, Immobile

Refarii: Di Bello

 


 

MKWANJA MARIDHAWA NA KASINO YA 777 MEGA DELUXE

Nafasi nyingine kwaajili yako, kasino mpya yenye hadhi ya kipekee inayokupa kila sababu ya kuwa mshindi katika kasino za Meridianbet, anza siku yako na njia rahisi ya kutengeneza mkwanja.

Napoli, Napoli vs. Lazio: Taarifa na Vikosi, Meridianbet

CHEZA HAPA

14 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa