Kipa namba moja wa timu ya PSG ameongeza mwaka mmoja katika mkataba wake akihudumu PSG mpaka mwaka 2024.

Navas alihamia PSG akitokea Real Madrid mwaka 2019, na toka afike PSG amekuwa muhimili muhimu sana wa timu hiyo. Navas amecheza mechi 72 klabuni hapo na amesaidia timu yake kunyakua kombe la Ligue 1, the Coupe de France na Coupe de la Ligue  msimu uliopita.

Baada ya kusaini mkataba huo, rais wa klabu hiyo Nasser Al-Khelaifi alieleza kufurahishwa sana na kitendo cha mchezaji huyo kuongeza mkataba kwani ni mchezaji bora sana!

Nimefurahishwa sana na Navas kuongeza mkataba wake, ni mchezaji mzuri na anawapa kujiamini uwanjani na kupendwa na mashabiki alisema Nasser

PSG sasa wapo katika nusu fainali ya UEFA Champions League na leo watakutana na Chelsea, na wana matumaini makubwa kutoka kwa kipa wao huyo kama alivyofanya kwenye mechi zilizopita za timu hiyo.


KWANI MERIDIANBET WANASEMAJE! MKWANJA UPO KWENYE KASINO MPYA YA MINI POWER ROULETTE.

Unawezaje kukosa ubingwa ndani ya kasino hii maridhawa, Nafasi ya kushinda mkwanja ni kwa kila mtu, Meridianbet inakupa nafasi ya kuwa mmoja ya washidi leo, unasubiri nini?

Mini Power Roullete

CHEZA HAPA

14 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa