Baada ya kuikosa nafasi ya moja kwa moja ya kucheza hatua ya Play-Offs kunako ligi ya NBA msimu huu, Boston Celtics wameingia kwenye hatua hiyo kupitia mchakato wa play-in tournament.

Mfumo wa Play-in tournament umeanzishwa kwa msimu huu pekee ukiwa na lengo la kuizambanisha timu zinazojaza nafasi 2 kunako misimamo ya Eastern na Western Conference. Ikumbukwe, michezo ya Play-offs inahusisha timu 8 kutoka kwenye pande zote mbili.

NBA, NBA: Boston Celtics Yatinga Play-Offs, Meridianbet
Jason Tatum (kulia) akipambana na wachezaji wa Washington Wizard.

Celtics wanatinga hatua ya Play-Offs baada ya kuwafunga Washington Wizards kwa pointi 118-100. Jason Tatum alikuwa shujaa wa Celtics baada ya kupachika pointi 50 na wameingia kwenye hatua ya Play-Offs kama timu ya 7 kunako msimamo wa Eastern Conference. Celtics watacheza na Brooklyn Nets katika mchezo wa kwanza wa NBA Play-Offs.


UNAWEZA KUWA MILIONEA WAKATI WOWOTE!

Zungusha na ushinde mkwanja wako papo hapo baada ya mzunguko kukamilika. Ni kugusa tu 🤑.

NBA, NBA: Boston Celtics Yatinga Play-Offs, MeridianbetBASHIRI SASA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa