Hakika NBA Eastern Conference imenoga, vita ya Milwaukee Bucks vs Brookyn Nets inaendelea. Safari hii, mchezo wa 7 utaamua nani mbabe.

Baada ya michezo 6, matokeo yanasoma 3-3 baada ya Bucks kujibu mapigo kwa kuwafunga Nets kwa pointi 104-89.

Khris Middleton (Bucks) amejiwekea rekodi yake baada ya kufunga pointi 38 kwa mara ya kwanza kwenye historia yake kunako NBA.  Kevin Durant alipachika pointi 32 katika mchezo ambao Nets walimkosa Kyrie Irving ambaye alipata majeruhi.

Mchezo wa 7 utachezwa kesho jijini Brookyn ambapo Nets wameshinda michezo yote 3 waliyocheza wakiwa kwenye uwanja wa nyumbani.


SHINDA TSH 150,000,000/=

Mtaani kumechangamka, washkaji wanakamata mkwanja kwa mkakati tu na Footbal Fever! Ni rahisi, changamkia fursa hii kushinda mgao wako wa TSH 150,000,000/= 💰🤑

Atletico, Atletico Waunga Tela kwa Calhanoglu, MeridianbetINGIA MCHEZONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa