Mambo ni moto kunako muendelezo wa michezo ya nusu fainali ya NBA. LA Clipper wafanya kweli kwa Utah Jazz, Atlanta Hawks wakiwasha kwa Philadelphia 76ers.

Clippers wameendelea kuonesha ubora wao katika kuiwania nafasi ya kucheza fainali ya Western Conference. Matokeo ya pointi 119-111. Paul George akipachika jumla ya pointi 37 na kuwa kinara wa mchezo huo.

NBA, NBA: Clippers, Hawks Ubao ni 3-2, Meridianbet
Trae Young

Upande wa pili, NBA Eastern Conference ndio moto utawaka. Atlanta Hawks vs Philadelphia 76ers ubao ni 3-2. Trae Young ameendelea kuwa bora baada ya kupachika pointi 39 na kutoa pasi 7 za magoli.

Ukiacha matokeo ya timu hizi, mahasimu wao – Bucks vs Nets nao matokeo ni 3-2. Sasa ni rasmi, Nets, Hawks na Clippers wanahitaji ushindi mmoja kwenye michezo 2 iliyosalia ili wafuzu hatua za fainali.


SHINDA TSH 150,000,000/=

Mtaani kumechangamka, washkaji wanakamata mkwanja kwa mkakati tu na Footbal Fever! Ni rahisi, changamkia fursa hii kushinda mgao wako wa TSH 150,000,000/= 💰🤑

Atletico, Atletico Waunga Tela kwa Calhanoglu, MeridianbetINGIA MCHEZONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa