Bado mambo ni magumu kwenye baadhi ya michezo ya nusu fainali kunako NBA. Atlanta Hawks na LA Clippers wamelipa visasi dhidi ya wapinzani wao.

Kwenye Eastern Conference, Hawks walirejea mchezoni baada ya kuwa wamezidiwa pointi 18 na Philadelphia 76ers. Trae Young ameendelea kuwa mwokozi wa Hawks. Young alipachika jumla ya pointi 25 na kuisaidia Hawks kumaliza mchezo kwa matokeo ya pointi 103-100. Kwa matokeo haya, mpaka sasa ubao unasoma 2-2 baada ya michezo 4.

NBA, NBA: Hawks na Clippers Wamelipa Visasi, Meridianbet
Trae Young (kushoto) akionesha ubora wake dhidi ya 76ers.

Upande wa NBA Western Conference, LA Clippers wamekataa uteja dhidi ya Utah Jazz. Kawhi Leonard na Paul George wote walipachika pointi 31 kwenye ushindi wa pointi 118-104. Hii ni mara ya pili Clippers wanapindua matokeo baada ya kupoteza michezo 2 ya awali kwenye hatua ya nusu fainali.


SHINDA TSH 150,000,000/=

Mtaani kumechangamka, washkaji wanakamata mkwanja kwa mkakati tu na Footbal Fever! Ni rahisi, changamkia fursa hii kushinda mgao wako wa TSH 150,000,000/= 💰🤑

Atletico, Atletico Waunga Tela kwa Calhanoglu, MeridianbetINGIA MCHEZONI

ONI MOJA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa