Kama ni mfuatiliaji mzuri wa mchezo wa kikapu kunako ligi ya NBA, majina kama Magic Johnson na Oscar Robertson. Sasa hivi kuna jina lingine – Russell Westbrook. Unamfahamu huyu?

Russell Westbrook ameweka rekodi kwenye NBA kwa kuwa mchezaji wa kwanza kupachika “triple-double” kwa timu ya Washington Wizards walipocheza dhidi ya Indiana Pacers.

Westbrook alipachika jumla ya pointi 35, alitoa pasi 21 na kucheza mipira 14 iliyokufa. Hii haijawahi kutokewa kwenye ligi hiyo kwa mchezaji kupachika ‘triple-double’ yenye pointi 35 na pasi 20 au zaidi.

Hata wakati wa Johnson na Robertson, wao walipachika pointi 30, pasi 10 za magoli na kucheza mipira 20 iliyokufa.

NBA, NBA: Russell Westbrook Aweka Rekodi Mpya., Meridianbet
Russell Westbrook (kushoto) akiwaadhibu Indiana Pacers.

Wiki iliyopita, James Harden akiwa na Brookyn Nets alipachika ‘triple-double’ katika ushindi dhidi ya Minnesota Timberwolves (112-107).

Alipachika pointi 38, alitoa pasi 13 za magoli na kucheza mipira 11 iliyokufa.

“Ninajisikia fahari kama kiongozi, kuiongoza timu yangu” alisema Westbrook baada ya mchezo. Russell Westbrook, amepachika jumla ya ‘triple-double’ 16 katika michezo 38 aliyoitumikia Wizards.


UNAWEZAJE KUKOSA KASINO YA BREAK AWAY LUCKY WILDS INAYOKUPA NAFASI YA USHINDI MURUA.

Break Away Lucky Wilds ni moja ya Sloti pendwa katika kasino za #meridianbet inayokupa mara 11,000X ya dau lako, unayo nafasi ya kuwa milionea unasubiri nini?

NBA, NBA: Russell Westbrook Aweka Rekodi Mpya., Meridianbet

CHEZA HAPA

7 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa