Mshambuliaji wa timu ya Yanga na Tanzania, Ditram Nchimbi, hatimaye amefanikiwa kuifungia goli timu yake ya Yanga baada ya mwaka mmoja na miezi miwili.

Nchimbi hakufunga goli lolote kwa Yanga toka afanye hivyo mwezi Februari mwaka jana. Kulikuwa na kelele nyingi sana kutokana na uchezaji wa mshambuliaji huyo kutokufunga goli lakini anapata nafasi klabuni hapo.

Katika mechi ya jana, Yanga vs Gwambina, Nchimbi alikuwa mfunguaji wa magoli kwa kupiga shuti kali sana lililomshinda golikipa wa Gwambina. Mpaka dakika tisini zinaisha Yanga ilishinda goli 3-1.

Hivi karibuni Duma aliibuka na kusema kwamba kutokufunga kwake kunamuumiza na anaahidi kuanza kufunga magoli mengi. Je, huu waweza kuwa ni mwanzo Ditram na Yanga baada ya Ujio wa Kocha mpya?


MKWANJA MARIDHAWA NA KASINO YA 777 MEGA DELUXE

Nafasi nyingine kwaajili yako, kasino mpya yenye hadhi ya kipekee inayokupa kila sababu ya kuwa mshindi katika kasino za Meridianbet, anza siku yako na njia rahisi ya kutengeneza mkwanja.

nchimbi, Nchimbi Afunga Goli Baada Ya Mwaka 1, Meridianbet

CHEZA HAPA

13 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa