Bingwa wa dunia mara 5 kwenye mchezo wa ndondi, Floyd Mayweather atapanda ulingoni safari hii kuchuana na mtaalamu wa YouTube, Logan Paul.

Mpambano wa Mayweather vs Paul ulipangwa kufanyika Februari 6 na sasa umesogezwa mbele ambapo wapambanaji hawa wametumia mitandao yao ya kijamii kutangaza siku ya pambano hili.

Hili ni pambano la ndondi ambalo linatajwa kuingiza pesa ndefu kupitia mfumo wa malipo kwa kila mtazamaji. Hii itakuwa ni mara ya pili kwa Mayweather kuchuana na mpinzani ambaye sio mwanamasumbwi.

2018, Mayweather alihitaji sekunde 140 tu kumshinda Mjapan, Tenshin Nasukawa kwenye mchezo ambao ulitengeneza kiasi cha pauni milioni 6.7

Ndondi, Ndondi: Mayweather vs Paul ni Juni 6., Meridianbet
Floyd Mayweather (kushoto) akipambana na Conor McGregor (kulia)

2017, Mayweather aliachana na mchezo wa ndondi baada ya kumshinda Conor McGregor katika mchezo uliotengeza pesa ndefu kwenye historia ya mchezo huu. Floyd aliacha kucheza masumbwi akiwa hajapoteza michezo yote 50 aliyoicheza.

Mpambano wa Mayweather vs Paul utachezwa katika uwanja wa Hard Rock, Miami- Marekani.


KWANI MERIDIANBET WANASEMAJE! MKWANJA UPO KWENYE KASINO MPYA YA MINI POWER ROULETTE.

Unawezaje kukosa ubingwa ndani ya kasino hii maridhawa, Nafasi ya kushinda mkwanja ni kwa kila mtu, Meridianbet inakupa nafasi ya kuwa mmoja ya washidi leo, unasubiri nini?

Mini Power Roullete

CHEZA HAPA

4 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa