Mkongwe wa Manchester United, Gary Neville angependa mlinzi wa kati wa Real Madrid Raphael Varane akitua Manchester United wakati wa majira ya joto.

Gary Neville anamchukulia beki wa Real Madrid Raphael Varane kuwa ndoto yake ya kusaini Manchester United katika dirisha lijalo la uhamisho, na anamshauri Ole Gunnar Solskjaer kuimarisha maeneo matatu ya kikosi chake.

Neville anadhani kuongezwa kwa mchezaji huyo katika eneo hilo inapaswa kupewa kipaumbele wakati wa fursa ya dirisha la usajili litakapokuja.

Beki huyo wa zamani wa United alikuwa akifanya Q&A katika Twitter na alipoulizwa angependa kumchukua mchezaji gani mmoja na kumsajili alisema: “Varane.”

Lakini Pia Neville alimtaja nahodha Harry Maguire kama wachezaji muhimu sana hukoOld Trafford na aliwahi kusema hivyo kipindi cha nyuma kwamba kuwa bila beki huyo kwenye timu ya taifa ya England ni mbaya kuliko kumpoteza Harry Kane.

Neville alimtaja Paul Scholes kama mchezaji ambaye alifurahi kufanya naye kazi wakati alimtaja Dean Henderson kama golikipa namba moja wa United mbele ya David de Gea.


INAWEZEKANA KUWA MILIONEA BILA KUVUJA JASHO NA KASINO YA ODD ONE OUT.

Odd One Out kutoka Meridianbet ni moja ya kasino maridhawa yenye picha halisi, ambayo inakupa nafasi ya kushinda kadri uwezavyo na kuwa milionea mara baada ya mzunguko kukamilika.

Neville, Neville: Varane Atawafaa Manchester United, Meridianbet

CHEZA HAPA

2 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa